Magamba ndani ya ccm!!!

mchongameno

Member
Feb 9, 2012
26
16
Hivi wana janvi naomba kuuliza swali Magamba ndani ya CCM ni watu au mfumo unaokiendesha chama? Kama ni watu kwa nini wasitajwe hadharani na kuchukuliwa hatua mpaka kusubiri wao wenyewe wachukue hatua? Je suala la mabadiliko ya katiba ya CCM yana uhusiano na kuvua watu magamba au kudhibiti magamba yasigombee urais? Kama ni hivyo Je endapo Magamba kama hayatagombea Urais tutaendelea kuyavumilia kuishi nayo ndani ya Chama au tutatafuta njia nyingine ya kuyavua? Kama yamegoma kuvuliwa ndani ya Chama tutachukua hatua gani ya Mwisho?​
 
Back
Top Bottom