Ndugu zangu emu nisaidieni hili,ni miaka mingi sana nimesikia kuna uhakiki wa mali za viongozi nchini ila sijawahi sikia hatua zimechukuliwa dhidi kiongozi ya kiongozi.Najua hili zoezi linatucost...
Diwani mteule wa kata ya Kijitonyama kwa Ali Maua, Mhe. Juma Athumani Ulole Ulole anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutaka kumbaka binti mmoja kwa ahadi ya kumtafutia kazi huko...
Wakati watanzania tukiendelea kipigwa butwaa na wakenya wakiendelea na ujenzi wa uwanja mkubwa nawa kisasa wa ndege karibu kabisa na mpaka wetu na huko rombo rongai,sasa wameanza ujenzi wa mji...
Kiongozi wa UVCCM atokomea na mamilioni aliyochangisha Nahodha
Tuesday, 14 February 2012 22:29
Aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Shamsi Vuai Nahodha.
MWENYEWE ALITOA...
Wana JF,
Imekua desturi sana serikali hii ya Magamba kuwahamisha wafugaji katika maeneo yao na kuwapatia wawekezaji. Kibaya zaidi wana waambia wafugaji hao waende walikotoka, Je Mwekezaji ndio...
Nimekutana na huyu muheshimiwa mstaafu katibu mkuu wa ccm hapa iringa dukani ananunua mbolea ya kupandia wakati msimu wa kupanda bado. Jamani mzee kachoka vile na zile ndevu ni hatari....
JANA katika gazeti hili lilichapisha habari iliyokuwa ikimkariri Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akieleza kuwa nyongeza ya posho za vikao vya wabunge kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000...
Police are searching for a brazen thief caught stealing a $6,500 Rolex watch from a fellow passenger at an airport security checkpoint.
The Transportation Security Administration captured the...
Ndugu,
wanajanvi naomba tujadiri hili hapa.Katiba yetu hiko wazi kuwa mbunge wa kuchaguliwa na watu na kupata kula za nyingi kumzidi mpinzani wake ndo atakawa mbunge halali. Pili katiba hii...
Naomba kuelimishwa,mamlaka ya mapato ktk kukadiria kodi wajasiriamali kwa mwaka huu wa 2012-2013,hapa ktk wilaya ya tunduru,wanahitaji bank statement ya mwaka uliopita na kwamba makadirio yate...
Siku hizi sisikii habari za mwana wa mfalme Ridhiwan Kikwete hata Salma na WAMA au wanawake wa wakubwa na maulaji. Je wamevimbiwa au wamenyamazishwa na bwana mkubwa baada ya kuona wanamvurugia kwa...
Hali ya huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imerejea kuwa katika hali ya kawaida baada ya wagonjwa walioondoka kutokana na mgomo wa madaktari kurejea kupata huduma.
NIPASHE jana...
ARUSHA
WILAYA YA MERU
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM
34,661
62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA
19,123...
Tunaweza kuondoa wakuu wa wilaya,nchi nzima bila kuathiri shughuli za maendeleo.Watendaji waliopo wanaweza kutimiza wajibu wao bila matatizo yeyote na hawa jamaa kimsingi hamna kazi yeyote...
Hivi wana janvi naomba kuuliza swali Magamba ndani ya CCM ni watu au mfumo unaokiendesha chama? Kama ni watu kwa nini wasitajwe hadharani na kuchukuliwa hatua mpaka kusubiri wao wenyewe wachukue...
hii ni kwa mujibu wa katibu mwenezi wa ccm bwana nape nnauye.tusibiri utekelezaji kwani serikali ina muda wa wiki kama mbili hivi kutekeleza madai ya madaktari.
Waungwana naomba mwenye kuelewa anijuze kuna vifupisho vinanipa shida sana ninapopitia thread mbalimbali hapa jamvini baadhi ya vifupisho hivyo ni PM utakuta mtu anasema niPM mimi huwa naachwa...
Jamani, kama ninakosea nirekebishwe, lakini, hivi udaktari si kati ya fani za kuheshimika na hivyo ktk nchi nyingi madaktari ni watu ambao huwa na maslahi bora? Sasa iweje jamaa zangu madaktari...