Mangula wa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mangula wa ccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RasJah, Feb 15, 2012.

 1. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nimekutana na huyu muheshimiwa mstaafu katibu mkuu wa ccm hapa iringa dukani ananunua mbolea ya kupandia wakati msimu wa kupanda bado. Jamani mzee kachoka vile na zile ndevu ni hatari....
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kwani akihifadhi na kama ana ghala zuri kuna ubaya?
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  ujana si sifa wala uzee si kashfa, huyo hakuwa mwizi kwa hiyo, hiyo kauli yako ya kuwa kachoka ndo inawafanya wengine wawe wanatuibia, haina busara.
   
 4. g

  greenstar JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngalangala kweli wewe ni ngalangala kama jina lako,mzee Mangula ni mkulima ambaye anajituma katika kilimo kwa hiyo usile mada ambazo hazina tija!!!!!!!!!!

  RAI yangu kwa wanaJF tuanze kutoa maoni juu ya Members wote wanao misuse this privilege idea exchange wapigwe ban forever.......to maintain our credibility and dignity for the benefit of next generation!!!!!!!!!!!
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Tatizo la wewe ngalngal ni mawazo mgando/imla kuwa unapanda mazao mnvua ikinyesha tu, je, hakuna kilimo cha umwagiliaji?
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jmaa huyu,,,sasa ulitegemea aishi maisha gani baada ya kustaafu? ndo mnaoshabikia wizi nyinyi kina ngalangala shame on you!
   
 7. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Mzee ameapa hawezi kulima tena viazi mviringo kwasababu alidhurumiwa baada ya kutumia kipimo cha lumbesa!
   
 8. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua anaishi Makete sijui Ludewa huyo,
  kwahiyo labda leo kapata lift ya gari ya CCM, akaona ngoja anunue mbolea ya msimu wa kilimo mwezi december kabisa.

  Anaweza asirudi mjini tena huyo mpaka Dec.
   
 9. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lazima uwe great thinker mkuu,
  habari ambayo munaona kwako si habari inaweza kuwa habari kwa mtu mwingine, au hata wewe kwa baadae. Mimi huwa napita tu ukiona wewe si mtumiaji wa hiyo habari.

   
Loading...