Tanzania kuwa na waziri mkuu viti maalum si sahihi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania kuwa na waziri mkuu viti maalum si sahihi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alexism, Feb 15, 2012.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Ndugu,
  wanajanvi naomba tujadiri hili hapa.Katiba yetu hiko wazi kuwa mbunge wa kuchaguliwa na watu na kupata kula za nyingi kumzidi mpinzani wake ndo atakawa mbunge halali. Pili katiba hii inatamka wazi kuwa mbunge ambaye atateuliwa kuwa waziri mfano waziri mkuu ni lazima awe amepigiwa kula na wananchi kula ambazo niza ushindani.
  Je Mh Pinda hivyo vigezo viwili amevikidhi?Inakuwaje mbunge huyu wa viti maalum anateuliwa kuwa waziri mkuu?
  Pinda ni viti maalum sababu alipigiwa kula za ndiyo na wanachama wa ccm that is internal party election kitu ambacho katiba haihalalishi mtu huyo kuwa mbunge wa kuchaguliwa na ata kuwa waziri mkuu.
  NAWASILISHA.
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa hoja hizi huwa twapata shaka sana na uwezo wa kufikiri wa wananchama wa chama flani hivi.
  Hongera umeweka thread na wewe leo.
  OTIS
   
 3. g

  greenstar JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umeamka nazo? pole
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kasome vizuri katiba na sheria za uchaguzi utaelewa kuwa hakuna tatizo.
   
 5. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Shambulia hoja mkuu nasi mtoa hoja.Nipe uhalali wake kikatiba sivingine.
   
 6. B

  Bishweko JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mods fanya kazi zenu vizuri,hii thread haina mashiko na uelewa wa Alexism bila shaka ni mdogo saana.PM siyo lazima awe mbunge wakupigiwa kula kama ujui.lol
   
Loading...