Wakuu mama yetu aanahitaji msaada mkubwa..
mama beatrice kantimbo mkazi wa kwembe kata ya kibamba anahitaji msada wa kutibiwa mguu nchini India kiasi cha mil 45...mguu una zaidi ya miaka 12...
Kuna taarifa kuwa kuna maandamano na matamko makali yanaandaliwa na waislam kupinga wanawake ambao ni wateja na wahitaji huduma wa kiislam kupigwa marufuku kwenda kwenye ofisi za idara hii ya...
Wana Jamii na watanzania kwa ujumla nimesikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wa wizara ya elimu waliopewa dhamana. Hotuba walizotoa kimsingi sioni kama zina tija kwa twigs letu juu ya udhibiti...
Nimekuwa nasoma post mbalimbali kuhusu wizi wa hawa jamaa wa Vituo vya mafuta vya OILCOM, nikapuuza leo yamenikuta. Nimetoka na gari yangu mpaka Oilcom pale tiptop manzese, nikajaza mafuta ya...
watanzania kadhaa leo wakiwemo wanawake na akina mama wamepigwa , kudhalilishwa , kuibiwa pesa na kutishiwa kuuwawa na wamiliki wa yard ya kampuni ya Mwamkinga Auction Mart,Yard hiyo ipo nyuma ya...
WAKATI mjadala wa nyongeza ya posho za wabunge ukiwa umepamba moto nchini, kwa wananchi na makundi mbalimbali wakipinga hatua hiyo, wabunge wengi wa nchini Uganda wanaambulia patupu mwisho wa...
barabara kuu itokayo babati kwenda galapo mkandarasi kaajiri raiya wanasambaza moramu kwa jembe la mkono picha ntaweka baadae
my take: kagawa pesa na wakurugenzi walio toa tenda pesa ya greder...
Dk ulimboka na nicholaus mgaya ni watu ambao wamepata umaarufu mkubwa kwa kutetea haki za wafanyakazi. Napenda kujua yupi ni jembe kweli kweli kati ya hawa wawili?
Tangu asubuhi ya saa mbili oo nusu nipo ndani ya benki ya NBC na hapa Meru Branch Arusha na nikaenda mpk pale Uhuru na hakuna Network na hbr waliopokea ni kwmb karibu benki zote hapa Nchini hakuna...
kama mtu unaye fikiri kwa ufasaha, uchaguzi ujao ni vigezo vipi utavyotumia kumpa mtu kura yako na kukuongoza
1. Je ni kwa sababu waliopo unahisi wameshindwa?
2. Je ni kwa sababu unataka kujaribu...
Kwa nini radio za Bongo hupenda kutupigia nyimbo za kipuuzi redioni wakati tuna muziki wetu wa asili? Muziki wa fleva uwe unapigwa asili mia kumi tu kwani hauna maadili yeyote yale katika jamii...
Pamoja na kuwapo kwa ugumu wa maisha na kuwa kama tuliochanganyikiwa lakini sijafikia kiwango cha kusahau kukutumia salama zangu za wapendanao (au za wapendao?) leo hii, bila kusubiri "mwaisha...
DR. Augostino Lyatonga Mrema na Edward Ngoyai Lowasa, ni miongoni mwa viongozi ambao, wamefanya mambo makubwa yanayo waletea watanzania manufaa mpaka sasa.
1. DR. (PHD) Mrema ndie alieneza...
Najuiliza hawa wabunge wanaopoteza muda wao bungeni kuipinga JF wanaogopa nini? Tumchukulie huyu mchungaji Rwakatare, nani asiyejua yeye ni mwizi? Anatumia tu uchungaji kujificha. Je, kumuanika...
Nasema hivi kwa sababu wenzetu Zambia wamefanikiwa kuwa na demokrasia ya kweli na matunda yao yanonekana kuanzia kwenye soka na mengi mazuri yaja.Sisi ziro hata kitu kimoja hatuwezi labda ufisadi.
Imagine the posiibility of stress-free
Ceremonies; it begines with you.
Serikali ilitumia Tshs 64 Bil kwa ajili ya
sherehe za mika 50 ya uhuru; sherehe
hizi walengwa walikuwa ni watanzania...
Nasikitika kusema kwamba Rais wangu wa Tanzania amenitusi.Hii imetokea siku ya Ijumaa alipokuwa akihutubia Wazee wa Dar es Salaam.Alinitusi kwa kuniambia uongo huku akiwa anaujua ukweli.Aliniona...
kwa yeyote anayejua sifa za kupata uwakala wa vodashop na superdealer yaani watu wanaouza mpesa wawe wananunua balance kwako kwa jumla hili waende kuuza kwa wateja wa rejareja