Anahitaji msaada

Anahitaji msaada

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Wakuu mama yetu aanahitaji msaada mkubwa..
IMG_2187.JPG


IMG_2180.JPG


mama beatrice kantimbo mkazi wa kwembe kata ya kibamba anahitaji msada wa kutibiwa mguu nchini India kiasi cha mil 45...mguu una zaidi ya miaka 12 kapimwa hana kansa,kisukari wala shinikizo la damu...

kwa mawasiliano piga 0716 850 350 au 0767 850 351 kwa mpesa au tigo pesa
 
Back
Top Bottom