Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili jioni leo nimeona kuwa ile kampuni inayokamata magari ambayo yanayoegeshwa katika sehemu 'ambazo sizo', mkataba wake unaisha na hautaongezwa. Nimepokea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kwa tuwazaniao kuwa ndiyo wakombozi wa afya zetu kuendeleza upompompo kwa kiasi hicho cha kuendelea kuangamiza afya na uhai wa watu.Mara ya kwanza mlifanya upasuaji wa kichwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania nikiwa mtanzania mwenye Imani thabiti napenda kuwahakikishia yakuwa Dr Harison Mwakiembe atapona, baada yakuwepo gumzo kubwa kila kona ya Tanzania at the last Dr Harson atapona...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Naipenda nchi yangu kiasi ambacho ni zaidi ya zaidi na nina uhakika Mungu ni shaidi katika hili. But kwa hali ya maisha (kiuchumi), kisiasa na kiuongozi ilivyo inanifanya nikate tamaa. Wananchi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajamii tafadhari napenda kufahamu mikopo ya makampuni haya ya BAYPOT na BLUE kama kweli mikopo yao inatija kwa wakopaji na vipi makato yake wakati wa kurudisha; hayamuumizi mkopaji ? Na kwa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
katika kipindi cha BBC kilichorushwa jana jioni (20-02-2012), kuna taarifa ya kuwa Tanzania imewekwa katika orodha ya BLACKLIST na hivyo HAIKOPESHEKI, NA UWEKEZAJI NI MGUMU. Kwa maelezo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF nadhani mtakumbuka sana bomoabomoa ya miaka ya 1996 na kuendelea. Nakumbuka ilileta kizaazaa kweli mpaka ikageuzwa ni agenda ya kisiasa. Sasa naomba mnifahamishe kwa kuchangia. Je kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu,wakuu.awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa pumzi ya uhai baada ya mkasa wa jana, wapendwa mliopo dar es salaam jana mida ya saa 3 ucku nilipanda daladala inayotoka...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Soma hapa Slaa: Hakuna kama Rais Kikwete
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Mimi nnavyoelewa wito nimsukumo wa dhati wakutenda jambo.Nikiwa na maana kazi zote nizawito nasiudaktari,uuguzi na uwalimu pekee ndio kazi zawito.Mbaya zaidi neno wito limekuwa kikwazo cha watu...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
HUU NI UJUMBE WAKE KWENYE WALL YA FACEBOOK AMBAO AMEUBANDIKA AKIUJULISHA UMMA: "Jumatano, tomorrow, nitakuwa PB (Power Breakfast) ya Clouds FM kuanzia saa 1.15 asubuhi nikizungumzia historia ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajanvi huwa napigiwa simu kupitia number hiyo hapo juu na anayepiga hajitambulishi sanasana nasikia sauti upande wa pili kama matangazo kutoka VodaCom sijui Karibu VodaCom Blablaaa nakuendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii (DK. Mponda),Waziri wa Ushirikiano wa Jumuia ya Africa Mashariki (Sitta) ,Naibu Waziri wa Miundo Mbinu na Ujenzi (Dr. Mwakyembe) na Mkurugenzi wa Upelelezi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wazee wangu wacheni kupenda hela zabure na kulalamika piga hii no *150*55# kwenye simu yako utaona kama umekewa hela lakini ni test hapa jf watu wameshaanza sijui usalama wako wapi hapo hakuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Okware was attacked by the dog when he was cleaning his rear end. By Faustine Odeke-Uganda A 12-year old boy whose genitals were bitten off by an aggressive neighbor’s dog has been referred...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
HALI katika mamlaka ya bandari [TPA] si salama kabisa, wizi umekithiri kupita kiasi makontena yanaibiwa kila kukicha, ukileta mzigo wa aina yeyote ile lazima utakuta kuna vifaa vimepunguwa,lililo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KAMA ULIKUA UJAPATA KUONA YALIYO TOKEA HUKO ARUSHA KATIKA VIDEO UNAWEZA KUJIONEA MWENYEWE NA KUPIMA KWA UTASHI WAKO KAMA POLISI NI WALINADA AMANI AU NI VIBARAKA WA CCM NA KIKWETE POLISI WANAWEZA...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Yani mengi kupost twitter mmeipa dkk 3? Ngoja na mie nifungue tv yangu niweke taarifa ya habari saa nzima sredi na post zangu za JF,Facebook na twitter Nawasilisha.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kila mtu,mtza au mgeni,awe anaishi humu au nje ya nchi ukimuuliza anaiuaje Tza,utapata majibu tofautitofauti!Mathalani,yupo atakayejibu kuwa,Tza ni nchi ya nne kwa utajiri wa madini Africa,Tza ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imenishangaza sana kwa habari iliyosomwa gazeti la majira, tuongee magazetini RFA, kuwa kituo cha sitaki shari kimeingia katika tuhuma nzito. Nimekaa chonjo kusikia tuhuma hizo, halafu wanaelezea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…