Unknown +15600

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wanajanvi huwa napigiwa simu kupitia number hiyo hapo juu na anayepiga hajitambulishi sanasana nasikia sauti upande wa pili kama matangazo kutoka VodaCom sijui Karibu VodaCom Blablaaa nakuendelea, naomba kujua kulikoni watu wa VodaCom???? Nawasilisha.
 
we ulipokea ya nn wakati namba yenyewe ni utata?mtakuja pokea na mionzi bure
 
Ni uhuni tu wanafanya matangazo ya biashara zao wapo juu ila wanapokuwa na break down hakuna matangazo.
 
Back
Top Bottom