MAJIRA nao sio makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAJIRA nao sio makini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ntamaholo, Feb 21, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Imenishangaza sana kwa habari iliyosomwa gazeti la majira, tuongee magazetini RFA, kuwa kituo cha sitaki shari kimeingia katika tuhuma nzito. Nimekaa chonjo kusikia tuhuma hizo, halafu wanaelezea kuwa ni kutokana na kutoa kipondo kwa watuhumiwa wa ujambazi waliokamatwa na siraha wakijiandaa kufanya ujambazi.

  my take. Jambazi aliyekutwa na silaha tena akitaka kufanya ujambazi, kumpa kipondo cha kutosha nayo ni tuhuma nzito? Jambazi kama angepata upenyo, maafa yake nani angeyavumilia?

  Mimi niwe upande wa jeshi, tena wangeongeza kipondo kwa watu kama hao wanaomiliki silaha kwa njia haramu
   
 2. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bomba hiyo
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wewe ndo uko makini...!
   
Loading...