Hivi ITV mmehishiwa habari?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,644
68,594
Yani mengi kupost twitter mmeipa dkk 3? Ngoja na mie nifungue tv yangu niweke taarifa ya habari saa nzima sredi na post zangu za JF,Facebook na twitter

Nawasilisha.
 
Mbona ueleweki mkuu sio watu wote wameangalia ITV, elezea kwa makini kilichotokea tujadili.
 
Mbona ueleweki mkuu sio watu wote wameangalia ITV, elezea kwa makini kilichotokea tujadili.

Mengi amepost kitu twitwer kinahusu mambo ya vijana sasa ndio ikawa habari kuelezea jinsi watu walivycomment,lini amejiunga na twitter,amepost mara ngapi twitter na pia idadi ya followers wake wakiwemo kina zitto,jeikei etc
 
JAMANI ubadhirifu maana yake nn haswa? kutumia mali ya umma ovyo tu ama ni pamoja na kujipendelea bila kuaangalia maslahi ya hadhira? Kwani mtu wa kijini anajua twitter ni nn? Jamani itv mnafanya ndivyo sivyo.
 
Kila mtu na utashi wake mimi napenda sna itv hawachakachui habari then starr tv na mlimani tbc sinampango nayo kabisa
 
JAMANI ubadhirifu maana yake nn haswa? kutumia mali ya umma ovyo tu ama ni pamoja na kujipendelea bila kuaangalia maslahi ya hadhira? Kwani mtu wa kijini anajua twitter ni nn? Jamani itv mnafanya ndivyo sivyo.

Kwahili wamechemka kabisa.
 
Mi kwa TV/RADIO napenda itv na IPP kwaujumla, magaezet ni Mwana/nchi/halisi/spoti, na global publisher kwa udaku
 
hata b/day ya mwanae wataweka dk5 si ya kwake.sijui kule vijijini watakua wameelewa nn maana mitandao ya kwenye tovuti ni kitendawili kule
 
yaani kwa kuwa TIFI ni yake, Pia watamuonyesha na massaweeee anakunywa mbeke!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom