wazee wangu wacheni kupenda hela zabure na kulalamika piga hii no *150*55# kwenye simu yako utaona kama umekewa hela lakini ni test hapa jf watu wameshaanza sijui usalama wako wapi hapo hakuna kesi sababu sio hela yako
Sio kosa lako pesa haramu wakupe wewe ?Jane we ni kilaza kwelikweli hivi tangu lini bank ikaoperate kwa mtu ambaye si mteja wake?kama wanatumia laini yako kupitisha fedha haram?NMB MOBILE inafanya kazi kwenye simu za wateja wake tena waliosajiliwa na test zinafanyika kwa wateja wao tu waliosajiliwa ss hii inaingiaje akilini mwako kufanya test kwa kila mtu tena kwa kiwango kikubwa kiasi hicho cha pesa?wangekua wanaweka 5000 at least ingeeleweka,nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria na kuchambua mambo inawezekana ukaambiwa mchana ni usiku na ukakubali.