Tanzania ni zaidi ya uijuavyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Feb 21, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila mtu,mtza au mgeni,awe anaishi humu au nje ya nchi ukimuuliza anaiuaje Tza,utapata majibu tofautitofauti!Mathalani,yupo atakayejibu kuwa,Tza ni nchi ya nne kwa utajiri wa madini Africa,Tza ni nchi yenye mlima mrefu kuliko yote duniani,Tza ni nchi ya amani na utulivu n.k!Haya yote huenda yakawa majibu sahihi.Lkn nchi hii ni zaidi ya yeyote aijuavyo!Tazama jinsi viongozi kama Mwakyembe wanaojaribu kuegemea kwenye ukweli wanavyomalizwa,taratibu!Wenye dhamana ya usalama wa raia wanadai hana sumu ya kugusishwa,kunyweshwa!Lakini jamaa ngozi yake imekuwa kama ya kenge,sura kama babu wa miaka 80!Anajaribu kutabasamu lkn tabasamu leke limebaki historia,hana nuru!Haya na mengine unayoyajua ambayo mi cyajui yanaifanya Tza kuwa zaidi ya uijuavyo.
   
Loading...