YALIYOWAKUTA CHADEMA ARUSHA KATIKA VIDEO ona mateso ya polisi yasiyosababu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

YALIYOWAKUTA CHADEMA ARUSHA KATIKA VIDEO ona mateso ya polisi yasiyosababu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmzalendo, Mar 6, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAMA ULIKUA UJAPATA KUONA YALIYO TOKEA HUKO ARUSHA KATIKA VIDEO UNAWEZA KUJIONEA MWENYEWE NA KUPIMA KWA UTASHI WAKO KAMA POLISI NI WALINADA AMANI AU NI VIBARAKA WA CCM NA KIKWETE POLISI WANAWEZA KUFANYACHOTE CCM WANACHOSEMA NA KILE AMBACHO CCM HAWAKITAKI KINAKUA SHERIA NA UKIKIPINGA UNANAKUTA NA DOLA

  www.lifeofmshaba.com: YALIYOTOKEA ARUSHA KATIKA VIDEO
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,754
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Dah!Ahsante mkuu,machozi yamenitoka!
   
 3. G

  Gek.com Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hv jamani hii hali yakuonewa na police hadi lini?
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Inatia huruma sana,

  Yaani Jeshi la Polisi siyo kwa ajili ya kulinda Raia bali ni kwa ajili ya kuua raia.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...