Kauli tata za Spika Anne Makinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli tata za Spika Anne Makinda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JACADUOGO2., Feb 28, 2012.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda nahisi amechanganyikiwa baada ya kupewa kazi hiyo ya uspika inayoonekana wazi kumshinda. Sasa amebaki tu kuropoka na kukurupuka kwa maneno yasiyokuwa na maelezo ya kueleweka!
  1. Nusu ya Wabunge wanataka kujiuzulu kwa sababu ya ufinyu wa posho na mshahara!
  2. Posho imeshaidhinishwa na rais na tayari imeanza kutolewa!
  3. Kushindwa kuruhusu Bunge kujadili masuala nyeti kama mgomo wa madaktari nk!
  4. Suala la Jairo kuishia hewani bila maelezo ya kueleweka!
  5. Bunge kuwa na vurugu nyingi kuliko mabunge yote yaliyopita!
  6. Sitagombea tena ubunge 2015 kwa sababu posho haitoshi!
  7............! Nk.
   
 2. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu kwenye Insurance law kinaitwa 'senile decay', nadhani tunaweza kuanzia hapo kujadili.
   
 3. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na bado
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Huyu mama uongozi umemshinda yaani anatamani ipigwe kura ya kutokuwa na IMANI na Spika ili angolewe. Kutangaza kujiuzulu anaona NOMA itaonekana ameshindwa lakini ukweli ni kwamba Bunge limemshinda na wale wote waliokuwa wanashangilia kuchaguliwa kwake saa majibu wanayapata.

  Anabaki kuropoka ovyo pasipo kutafakari. Kiongozi wa nafasi yake hatakiwi kuropoka ovyo kwani wananchi wanapokea maneno yake kama yalivyo, sasa yeye utadhani kama yupo kijiweni proproprorporprorporprorprorpro!!!!!!!!!!!!!

  nini mama weeee na ulisema unayaweza kumbe........................


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 5. m

  mrisho amin Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anyooshe mikono juu, abwage manyanga sio lazima kumaliza round wakati inaonekana wazi umeelemewa
   
 6. MTI PESA

  MTI PESA Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
   
Loading...