Afsa Habari wa TFF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afsa Habari wa TFF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masulupwete, Feb 28, 2012.

 1. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Anaonekana ni mvivu wa kuongea
  Anaongea kama hataki au kalazimishwa
  Anapoongea ni kama anatangaza vita au matangazo ya vifo

  No smile/facial expression
  Hana mvuto kwa mtazamaji/msikilizaji kupenda kumsikiliza, kifup anaboa kumskiza


  Kifupi sio muwasilianaji mzuri km walivo wenzie wengi
   
 2. assa von micky

  assa von micky Senior Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tumeongea na mwalimu...kila kitu kipo sawa ....viingilio vitakuwa....kama ile ndo staili yake mbombo ngafu naloli
   
 3. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Lakini si anaeleweka?
   
 4. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mleta mada wewe mwanaume au mwanake jibu ndio nikupe maelezo kwaujumla
   
 5. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeona wabongo wanashida kweli
   
Loading...