Arobaini ya Mh Regia mtema..

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,941
Wapendwa salamu!
Familia ya Dr Estelatus Mtema inapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki zetu wote kwenye kumaliza msiba (arobaini) ya mpendwa wetu Mh Regia Estelatus Mtema itakayofanyika nyumbani kwao Ifakara siku ya tarehe 3/3/2012.
Karibuni sana!

SOURCE: REMIJA MTEMA facebook page
 
You mean mwezi ushapita toka atutoke khaa!
Regia twaomba utuombee kwa mola ili Tanzania ipate viongozi wazalendo wanaokerwa na umaskini wetu,elimu yetu duni na magonjwa yanayotusibu katika chaguzi zijazo
 
Back
Top Bottom