Mayai feki yameingia Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mayai feki yameingia Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Technology, Feb 26, 2012.

 1. T

  Technology JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Kuna mayai feki yanaoingizwa kutoka Nairobi na kuuzwa kwa Tray moja 4,000 (elfu nne) kariakoo na gongo la mboto. mayai ni mepesi saana na madogo.

  MAYAI YNA KIINI CHEUPE NA KITU KAMA UZI MWEKUNDU NDANI (DAMU).  source: Mwananchi

  si tu imeharibu soko la ndani lakini pia mayai hayo yamekataliwa rwanda na uganda.
   
 2. S

  Selungo JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni jaa, kila uchafu wa dunia hii utaingizwa. Tusubiri.
   
 3. T

  Technology JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Licha ya wizara husika kua na taarifa, haijatoa tamko lolote. tusubiri watu wafe kwanza then waje waunde tume. Mkemia wa serikali chukua sampuli na uangalie kuna sampuli ngapi za ARV ndani ya hayo mayai.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Chakula si lazima kipite ku[imwa kabla ya kuingia? tfda, customs, tra, uwt, walikuwa wapi yanapopitishwa?

  Au wewe ni muoga wa ushindani wa kibiashara? kama ni muuza mayai unatakiwa u declare interest.
   
 5. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,238
  Likes Received: 931
  Trophy Points: 280
  Nilishuhudia 40ft container la Mayai toka Kenya likipakuliwa pale Ilala sokoni nikawaza na kujawa hofu ni kwa jinsi gani wajasiriamali wetu toka Kitunda na kwengineko watawezaje ushindani huu na huku Finca,Pride na Banks wakidai marejesho!?
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  hivi mpaka mayai tununue kenya? Mambo mengine tunajitakia
   
 7. T

  Technology JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  najaribu kuangalia ni jinsi gani watu wanavyoweza kuathirika, Bakery products, chips mayai, Baharesa products zote hizi zinatumia mayai. natanglia muhimbili
   
 8. A

  ADK JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  we unashangaa mayai toka kenya,je vitunguu saumu toka china .huku kwetu ni jalala
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tanzania jalala tbs madudu tfda makorokoro tra utumbo wa kuku sirikali imelala usingizi wa pono,we unategemea nini?
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza serikali iliyolala usingizi inawaendesha raia walio macho! duhh!
   
 11. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hali si shwari maeneo karibu na Dar es Salaam,kuna mayai hayana kiini.Halafu bei yake ni cheap,kwahiyo kueni makini wale wapenda chipsi.Ukitaka kuyajua,pitapita wanapouza mayai.Juzi nilinunua trey zima,hapa ikwiriri hasara kwangu.
   
 12. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Pole kwa hasara iliyokupata na asante kwa taarifa mkuu.
   
 13. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kumbe yana chanza mkuranga,pwani!Kumbe ndiyo maana imenikumba hapa Ikwiriri.
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yameingiaje?TFDA mpo wap?EKELEGE na TbS yako fake mpo?
   
 15. T

  Tsidekenu Senior Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hahaa!baada ya mgomo,muhimbili wako kwenye warsha na makongamano!woe to you tanzania!
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  punguzeni kula mavitu ya kisasa
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama kuna kitu chochote ambacho ni fake kinachopatikana dunia hii hakijawahi kungia tz ikiwemo kondom, vipimo vya vvu, TBS wenyewe na sasa mayai
   
 18. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #18
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nimenunua trey 3 leo kwa 4,500ea maeneo ya banana!
  But nimeyatupa yote!
   
 19. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,218
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  mayai fake tunakula kila cku,wachache sana wanakula natural eggs,thats way clagi chips mayai .Tule vitu
  naturaly ja
  mani
   
 20. J

  John W. Mlacha Verified User

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  wakenya sio watu
   
Loading...