Ajali Mbagala

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
1,129
302
Watu nane wanahofiwa kufa kwenye ajali iliyohusisha Fuso, DCM na Hiace. Imetokea maeneo ya Mtongani leo asubuhi.
 
Watu nane wanahofiwa kufa kwenye ajali iliyohusisha Fuso, DCM na Hiace. Imetokea maeneo ya Mtongani leo asubuhi.

Poleni sana majeruhi na tulioguswa na Ajali hii, kwa namna zote.

Enyi Madreva tuoneeni huruma wajameni. "MAGONJWA, HALI NGUMU YA MAISHA" vinatosha kutupunguza Duniani.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Nimepita muda si mrifu kutokea mbagala kuna lori limegonga DCM maeneo ya mtoni kwenye makutano na reli na kuua watu zaidi ya kumi wakati napita hapo maiti zilikuwa zinatolewa na kuwekwa chini ni zaidi ya kumi.
Habari kamili tutazipata kupitia vyombo vya habari.
 
haya jk akatoe rambi rambi maan ndio kazi anayoijua.....rip
 
Kikweli ni ajali mbaya sn,enyi madera mtatumaliza jaman!yan watu wamejeruhiwa vibaya wengine wamekufa!rip marehemu!jaman tutokapo asubuhi na tukarudi salama nyumban hatuna budi kumshukuru mungu!
 
Siyo Mbagala, ni mtoni mtongani kabla ya daraja la treni kama unatoka kwa Aziz Ally kuelekea Mbagala
 
Kikweli ni ajali mbaya sn,enyi madera mtatumaliza jaman!yan watu wamejeruhiwa vibaya wengine wamekufa!rip marehemu!jaman tutokapo asubuhi na tukarudi salama nyumban hatuna budi kumshukuru mungu!

Madreva darasa la saba walio wengi hawajui kusoma wala kuandika. Sidhani kuna darasa la saba na form 4 failure ni member humu kuwa inawezekana akasoma thread hii. Nenda sasa TRA, wanaoomba leseni wengi ni darasa la saba na form 4 failures!1 Hapa tutapona kweli!!
 
Back
Top Bottom