Shilling ya Mwinyi ilikuwa na madini gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shilling ya Mwinyi ilikuwa na madini gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JAYJAY, Feb 27, 2012.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,492
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  wadau nakumbuka miaka fulani iliyopita shiling ya Mwinyi ilikuwa inatafutwa sana mara baada ya benki kuu kuiingiza kwenye mzunguko, wakati huo umri bado sana. hivi ilikuwa na madini gani maana masonara walikuwa wanahiitaji mno?
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hahahaaaah kaka/dada umenikumbusha mambo hayo, wakati huo nilikua mwalimu pande za Makete, ilikua ni mwaka 1988 au 1989, ule uvumi ulianzia Dar es salaam, Lol mambo haya yakuchekesha na kusisimua akili.
   
 3. howard

  howard Senior Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi nakumbuka nilikusanya mpk zikafika 50 ikatokea kuna ishu ya kukodisha na kujifunza baiskeli nikatumia zote, baada ya muda napata taarifa zinatafuta iliniuma sana ila hata mimi sijui zilikuwa zina madini gani na watu kweli walikuwa wanahangaika kuzinunua nakumbuka
   
Loading...