Msafara wa makamu wa Rais waua Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa makamu wa Rais waua Mbeya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nashy, Feb 27, 2012.

 1. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Msafara wa makamu wa raisi Dr Bilal umeua mwendesha baiskeli, hii ilitokea jana wakati msafara huo ulikua ukitokea Mbeya kuelekea Iringa. Baada ya ajali hiyo msafara huo haukusimama kutoa msaada, mpaka wasamaria wema walipofika eneo la tukio na kumchukua mtu huyo na kumpeleka hospitali alipofariki muda mfupi baada ya kufikishwa hospitali kutokana na majeraha mengi na makubwa sehemu za kichwani.

  Hii sio mara ya kwanza kwa misafara ya viongozi kuua, ilitokea Mwanza kwenye ziara ya Mkapa, kule Igunga, Musoma na maeneo mengine mengi.

  Source, patapata wapo radio
   
 2. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyu mzee anatembea na majini yanayoua watu? In less than a month msafara wake umeua askari Tanga, tena umeua...mh!!!!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ni majini mkuu,ameona akaue watanganyika kwa sababu sio kwao
   
 4. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Tanga askari wawili walikufa hapohapo.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nikiwafikiria hawa viongozi napata maruweruwe!
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Lushoto nako aliua trafik kibao, sasa sijui ana nini huyu mzeee
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Najaribu kutafakari kama huwa tunatathmini tija yoyote ya hizi safari... we have any return on our money!!!
   
 8. sister

  sister JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  achunguzwe vizuri.
   
 9. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,921
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Wamemaliza albino sasa wanakula pande ingine
   
 10. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  second chance,poleni wafiwa na MUNGU awafarij katika kipind hik kigumu...
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Freemasons government at work:RIP Kijana mwendesha baiskeli.
   
 12. J

  JAPHETtumpa Senior Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  it is not a surprise we are used to this kind of events and well! i think it has already started costing them let us wait and see
   
 13. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Madereva wa msafara wake hawapo makini waangaliwe tena maana siku zinazofuata yeye ndiyo atakayepoteza maisha tuanze kuunda tume zisizo na maana.
   
 14. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  iskeli nao wawe makini! haiwezekani ukagongwa na msafara unaoanza na piki piki, makelele kibao we bado tu ubishi.
   
 15. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Amekuwa Mungu mtu au!! kwanini asingesimama kutoa msaada.
   
 16. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Si hilo tuu, ktk msafara wake yule makamu wa awamu ya tatu; maafisa wawili mkoani walipoteza maisha huko Kilindi. Nadhani kuna namna!
   
 17. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye NYEKUNDU. Hakuna utaratibu huo DUNIANI mkuu. Tumwombe marehemu alale pema peponi, AMEN.
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Achunguzwe nini?
   
 19. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #19
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  RIP marehemu!Siku zake zilikuwa zimefika!Ni ngumu sana kuingia akilini namna ajali hiyo ilivyotokea maana huwa kuna magari yanayotangulia kutoa tahadhari labda ingekuwa gari lilikosea njia hapo ningetia neno!!Ndugu mtoa hoja yaani ulitegemea msafara usimame?umeona wapi hiyo ndugu yangu?
   
 20. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #20
  Feb 27, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Poleni sana wafiwa
   
Loading...