Police nao wamechoshwa na mfumo, wameamua wamwage mboga

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
Mi nadhani police nao wamechoshwa na utendaji wa serikali yetu,haya mauaji wanayofanya ni ishara wanajitahidi kuonyesha kwa Raia ili wachukue hatua haraka ya kuiondoa serikali madarakani.

Police hawapaswi kugoma, hawana njia ya kufikisha ujumbe kwa serikali, wafanyeje? wameona wafikishe ujumbe kwa wananchi ili mwasaidie kufanya maamuzi.

Unadhani ni nini sasa? police hawajui hii nchi ni ya vyama vingi? kwa nini wanashusha bendera za CHADEMA? ili wananchi wakasilike, waichukie serikali wafanye maamuzi sahihi haraka.
 
I beg to differ.......yaani waunge mkono kwa kuua ????? R u real serious

Could it be revolution hawa wanaokufa ndo motor.....so you now propel revolution by unwinding the motor????

Do you real take sometimes to read on revolutions????
 
nimekuelewa mtazamo wa polisi na serikali ni tofauti, ukitaka kujua angalia matokeo ya kura 2015 Songea ambyo huwa ngome ya CCM utaona watakavyo tupwa.
 
Two wrongs = a big wrong. kama wameichoka ccm na serikali yake mbona ziko njia nyingi tu tena zenye ushawishi kwa wananchi ambazo wengetumia.....kuwaua raia nooooo!
 
kweli hata wao wamechoshwa na mfumo mbovu wa selikari hii lakini kwa kuua watu siungi mkono
 
Two wrongs = a big wrong. kama wameichoka ccm na serikali yake mbona ziko njia nyingi tu tena zenye ushawishi kwa wananchi ambazo wengetumia.....kuwaua raia nooooo!

Ni ukweli mtupu ndugu yangu

Kama Polisi wangelikuwa wamechoka wasingelifyatua risasi kuua raia ambao hawana hatia.

ni wazi Polisi wanaipenda serikali ndio maana wanakuwa mstari wa mbele kuwaangamiza raia. Au angalia jinsi wanavyofurahia kwenda sehemu yenye maandamano. mbona hawachelewi kama wanavyofanya wakiambiwa kuwa mtaa fulani kuna majambazi yanafyatua risasi???

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Wanachokitaka nyie muendelee kukasilika na muichukie serikali harafu muondoe, wao wakifanya vizuri si mtaipenda serikali na hivyo hamtaiondoa wakati wao wanaona imeshindwa.
 
Wanachokitaka nyie muendelee kukasilika na muichukie serikali harafu muondoe, wao wakifanya vizuri si mtaipenda serikali na hivyo hamtaiondoa wakati wao wanaona imeshindwa.

Kwa hiyo hata tukiwapa taarifa kuwa kuna majambazi yanafyatua risasi mtaa fulani au kama ile taarifa ya kuhusu mauaji ya ajabu kule Songea. Walifanya kusudi kutotekeleza ili Tuiichukie Serikali. Na ikiwa ni wajibu wao kama walinda Usalama.

Uzembe kama huu Serikali haihusiki kabisa??? Ni polisi tutawachukia tu

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom