Mrema: Wananchi Wasiwe na "allergy" na Mishahara ya Wabunge....!!!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Ameyasema hayo wakati akimtangaza mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mas.

Katika press conference hiyo,amewathibitishia waandishi na Watanzania kwa ujumla kuwa PhD yake si ya kughushi... Akaonesha na credentials zake,zenye jina la chuo alichopata Doctorate yake cha huko Afrika ya Kusini...
 
Tukiwa na hayo ya Mrema,pia hatutakuwa mbali na ukweli kwamba,kuna wabunge waliokuwa wameshajipangia bajeti ya jinsi watakavyotumia posho hizo mpya.. Hivyo kutozipata,wanaelekea kuwa na uchungu usio na kifani!

Na kuna hoja nyingine ya mama Makinda wakati akiwa anawaaga wapiga kura wake,kuwa eti nusu ya wabunge "wanafikiria" kuachana na uwskilishi huo wa jamii na kutaka kurudi kwenye taaluma zao...
Hii kauli mimi nadhani ni tata na inasikitisha kwani kumbe wanapoacha taaluma zao kwenda majimboni na kugombea,si kuwa wana machungu na maendeleo hafifu ya jamii zao,bali kumaximise kipato na kujilimbikizia mali..!
 
Enzi zake alikuwa balaa.. Kipindi cha Mwinyi,nakumbuka alikuwa anawekwa nyuma(gari lake) ya msafara wa Rais enzi zile akipokea wageni/marais kutoka nje...
Sababu wananchi wanashangilia sana wamuonapo Waziri wa Mambo ya Ndani kuliko Rais wao na mgeni husika...
 
Kuna kipindi alikuwa mkali balaa!!ukichelewa kureport job,unakuta kiti hakipo!!!!Ukipiga mke,akishtaki,unapewa siku 7 za kujieleza!!!!
 
hivi mbona Tanzania phd za heshima mbona zinatangulizwa sana. mfano dr, lyatonga, dr. kikwete, dr mwinyi (ali hassan) hivi kweli hazinunuliwi? kwa uelewa wangu mtu mwenye phd kichwani si lelemama lakini hawa madoctorate wa kibongo KHA!
 
Kachoka sana, naona hajui hata anasema nini. Anajisifia phd leo akiwa hawezi kufanya wanayoyataka wananchi, mimi naanza kuamini (kupitia mfano wa mrema) haya mavyeo ya sifa ndiyo miwani ya mbao kwa wasomi afrika, wakisha yavaa tu hayo mawani hawaoni mbele tena, anaebisha amtafute mzee BANA pale chuo kikuu, ukizungukia magogoni utamkuta mwingine pale, endelezeni orodha ············
 
Yeah... Zipo zilizo genuine,na zipo za uchakachuzi... Si Doctorate tu, hata first degree,Msc.
Ila napenda pointi yako ya kutomention hayo ya Dr,Prof.... Ipo thread humu ukitafuta utaipata. Inarelate viongozi wetu na viongozi wa nchi nyingine zilizoendelea ... Wakatajwa Condoleza Rice,kuwa ni Prof. ,Barack Obama(nadhani Phd kama si Prof), Angel Merkel(Prof nadhani),wakataja na wengine wengi..
 
Na Makinda na kauli yake je..wakati anawaaga wapiga kura wake wa Njombe kusini..
 
Yeah... Zipo zilizo genuine,na zipo za uchakachuzi... Si Doctorate tu, hata first degree,Msc.
Ila napenda pointi yako ya kutomention hayo ya Dr,Prof.... Ipo thread humu ukitafuta utaipata. Inarelate viongozi wetu na viongozi wa nchi nyingine zilizoendelea ... Wakatajwa Condoleza Rice,kuwa ni Prof. ,Barack Obama(nadhani Phd kama si Prof), Angel Merkel(Prof nadhani),wakataja na wengine wengi..
napata shida sana maana phd nyingi mimi nazihusisha na ama hawaelewi maisha ya kawaida(antisocial) mpaka wanakuwa vituko mfano mungai kuona michezo mashuleni ni ujinga na ama naihusisha na ujinga(kwa maana hawaelewi hata ni kwa nini ni madoctor). elimu bora ni kuwa msaada kwa jamii na sio kuwa na sifa kwa jamii kama ambavyo lyatonga anataka nimuelewe.
 
Kuna kipindi ambacho sisi kama nchi liliingia wimbi la wasomiii-wasomiii,na hasa nadhani kipindi cha huyuhuyu Mrema akiwa NCCR...
Sasa kwa chama tawala ikabidi hiyo iwe agenda... Ndiyo maana wakaamua "kujisomesha" kwa mbinu,na madarasa wanayoyajua wao.... Na kama tujuavyo, asiyejiamini ndiye hupenda kujinadi,ili kuficha udhaifu wake..
 
Mrema shimbonyi meeku.
...Ah! Mkuu namba mbaya ile jana nilikuwa namcheki kunako runinga ya TBC anamtanga mgombea ubunge wa TLP kule Arumeru. Anadai yeye ubunge haachiii, posho zikiwepo atachukua, zisipokuwepo lazima kuna mtu atatakiwa kujibu kwa nini hazipo...nilibaki kucheka tu kweli huyu Mangi mh!!
 
na kauli ya Anne Makinda je..!
 
Back
Top Bottom