UDSM emergence meeting | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM emergence meeting

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Feb 29, 2012.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  baada ya chuo kufunguliwa na wanafunzi kushindwa kuja chuo ikidhaniwa wamekosa nauli au wanaogopa kula mawe chuo hakina wabafunzi kabisa hii imepelekea leo VC kuitisha meeting wafanyejeeee
  my take .. bei ya msosi imepanda mnaokuja chuo mje mkiwa fiti
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Tuje kufanyaje sasa kama pesa hakuna?
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,077
  Trophy Points: 280
  nimeona baadhi ya mighahawa hapo maji madogo ya Kilimanjaro sasa ni 600/- na sio mia tano ya zamani!
   
 4. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Huku kwetu (SAUT) wiki ya 3 pesa hakuna, wana msijidanganye mkaenda chuoni mtalia, tuacheni sisi huku yatima tuendelee kutengwa.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hicho chuo bana...yaani full drama mwanzo mwisho!
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  The objectives of the university has been changed from training the students how to think critically in solving problems to making violences!! Huwezi kusema mko huru na nchi inapanga dira ya taifa ya maendeleo huku viongozi mkikwepa majukumu yalazima kufanyika.
   
 7. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kweli mkuu NN
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  na ndo maana hata degree za siku hizi ni drama!!:poa
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sirikali haina ela jamani so full kufulia wafunge chuo.
  Au wawaite FFU waje attend madarasa maana haipiti wiki wamemwagwa apo!
   
 10. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hali ngumu,kwan kuna baadh ya vyuo hupewa hela baada ya kusain makaratas ya bod ya mikopo,itakua ngum wanafunz kuripot kwan iliwafaa naul hapo awal.
   
Loading...