MURO TRANS, laacha barabara na kupinduka mara tatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MURO TRANS, laacha barabara na kupinduka mara tatu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ntamaholo, Feb 18, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  Basi la MURO TRANS, linalofanya safari za MWANZA-DAR, alfajiri ya leo, likiwa linaelekea DSM, liliacha njia na kupinduka eneo la mkolani kwa DANCUN.

  Watu 25 wamejeruhiwa, 6 kati yao hali zao ni mbaya. majeruhi wengi hawana hata uwezo wa kutambua mizigo yao.

  chanzo cha ajali ni mwendo kasi wa dereva, aliyekuwa akiwahi kupima gari usagara-mzani, kona limemshinda na gari kuacha njia

  picha za tukio hilo zimepatikana baada ya gari kuinuliwa.

  muro 1.jpg
  basi limeinuliwa.

  muro 2.jpg
  upande wa dereva
  muro 3.jpg

  eneo lilikoangukia
   
 2. T

  Tewe JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Poleni abiria
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  aksante kwa niaba yao.

  baadhi yao walikuwa ni watoto wa shule walikuwa wakirudi maskani kwao, wengine ndo wanaenda kuripoti mashuleni kwao. very sad
   
 4. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh poleni ndugu zangu!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Ntamaholo asante kwa taarifa, lakini hizi sio picha za gari iliyopinduka mara 3!. Basi ya abiria iliyopinduka mara 3 kutokana na mwendo kasi, sio ya kujeruhi watu 6 na kuinuliwa bado ikatazamika kihivyo kama ulivyotuonyesha!.

  Pamoja na nia njema ya kutuhabarisha, tuwe wakweli!. Tuache sensesionalism kwenye mambo serious na maisha ya watu!. Poleni kwa ajali. Majeruhi get well soon!.
  Asante
  Pasco.
   
 6. j

  jigoku JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Poleni abiria,Mungu awaponye haraka
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  Yote yanawezekana mkuu PASCO. Inategemea na eneo lilikoangukia. halafu MUNGU huwa anaweza kuokoa awezavyo pamoja na ajali kuonekana mbaya kuliko. 25 wamejeruhiwa, lakini 6 kati yao hali zao si nzuri. Habari zikipatana zaidi, nitafanya update. Aliyenipa picha hizo, ni mtu aliyefika mda mdogo baada ya ajali na maelezo yake ndo hayo mkuuu
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  neno la msingi sana hili.
  Najua kuna malalamiko mengi kuhusu mwendo kasi na ubovu wa mabasi ya Muro, lakini kama exagerations za namna hii zitatumika, itakuwa inaonekana kama ni upinzani wa kibiashara badala ya ukweli.
  One important issue ni kwamba, gari ikiwa bovu na mwendo kasi, ukifika kwenye check point yeyote, unaweza kuizuia kwa kutoa taarifa....however,, lazima uwe umemuonya dereva na in most cases, usiwe peke yako uliyeona hatari ya mwendo au ubovu.
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  huyo mtu kakuingiza chaka, hebu niambie hiyo gari imeumia wapi mkuu....seriously, basi lenye body ya kutengenezwa kijanjajanja kama hiyo, ikianguka once, tena kutokana na mwendo kasi, hiyo body haitatamanika....sembuse mara tatu mkuu...
   
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Poleni abiria!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,787
  Trophy Points: 280
  Tatizo lakuajiri madeiwaka hili
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa muonekano wa picha hilo sio basi la kuanguka mara tatu.......poleni majeruhi!
   
 13. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  poleni abiria
   
 14. F

  Froida JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mungu awasimamie wasafiri na kuwaponya majeruhi hakuna serikali watu wanafanya watakavyo
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ntamaholo nakubaliana na wewe kwa Mungu yote yanawezekana, ila hizo picha za hilo basi sio za basi iliyopinduka mara 3!.

  Mleta habari wako atakuwa amejichanganya kati ya kuyumba na kupinduka mara 3!.

  Nadhani ni kweli gari ilikuwa mwendo kasi control ikamshinda dereva hivyo akayumba mara mbili huku akipunguza mwendo na mara ya tatu gari likaangukia ubavu, by that time, velocity ilishapungua ndio maana impact ni ndogo kiasi cha kuweza kulinyanyua hilo gari na linaonekana liko ok!.
   
 16. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  sawa wakuu.
   
 17. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Poleni sana majeruhi, kwa nguvu za mwenyezi mungu mtapona haraka
   
 18. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni sana abiria mliokumbwa na balaa hilo!
   
 19. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ajali za barabarani ni gamba lingine kwa taifa.
   
 20. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Poleni sana abiria;

  Kumbukumbu zangu zinasema kuwa kuna mada ililetwa hapa kuhusu haya mabasi ya MURO TRANS tulisha yajadili hapa kuwa ni mabovu. Sasa leo yametokea mengine haya kwa uzembe wa dereva. Huenda na ubovu wa basi nao umechangia.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...