Nina uhakika kwa hali ya sasa...tukitoa portion ya ubongo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina uhakika kwa hali ya sasa...tukitoa portion ya ubongo...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by New2JF, Feb 29, 2012.

 1. New2JF

  New2JF Senior Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  '' Kwa hali ilivyo sasa hasa kwa wa-tz walio wengi vijana....tukitoa portion inayohifadhi masuala ya elimu ya darasani na kumuacha aishi, wengi watakua vichaa kama sio watakufa mapema maana wengi hawana kitu tunaita akili ya maisha ''informal education''!!!

  Yaani kuna wanafunzi wanasoma ili mradi afaulu tu!!! sasa kama huyu ukimuondolea hiyo sehemu ya ubongo inayo-control shule...tutawaokota wengi!!!
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Pumba tupu hizi....napita na sitarudi tena kwenye hii.
   
 3. C

  Cupid 50mg Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pumba puma pumba
   
Loading...