Madaktari kwenye mgomo mpya

Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,275
391
Madaktari hapa wilayani Mafia wameingia kwenye mgomo mpya kuanzia leo asubuhi. "Total tools down" hiyo inaendelea hadi mda huu na kuathiri huduma za afya kwa wagonjwa ambao wanategemea kupata huduma kutoka hospitali hiyo pekee wilayani hapa.
Hivi sasa magari ya hospitali hiyo zinasomba madaktari kuwapeleka kwa ofisi ya DT kudai malipo yao ambayo ndio sababu ya mgomo wao huo mpya!
Mgomo huo umeathiri vibaya huduma kwa wagonjwa wengi waliofika kwenye hospitali hiyo ambayo ndio tegemeo pekee kwa kisiwa kizima cha mafia!
 
Waambieni warudi Kazini kwani tarehe iliyokubalika bado hadi 03-03-2012.

Au chunguzeni huenda wameenda kupokea mishahara. Si mnajua tena tarehe hii.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom