Kalenda za Uchochezi Zakamtwa Uganda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kalenda za Uchochezi Zakamtwa Uganda.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dubu, Feb 29, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kalenda zaidi ya laki 7 za TWAWEZA zimekamatwa na polisi wa Uganda katika mpaka wa Tanzania na Uganda mtukula zikiwa zinaingia Uganda. kisa cha kukamatwa ni kwamba zina maneno ya uchochezi. Hizo kalenda zimesha gawiwa Tanzania na kenya bila tatizo lolote. katika kalenda hizo zina picha za Kiza Besige Bank Moon. Source DW.
   
 2. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,805
  Trophy Points: 280
  Kiranja hii hata mie nimeisikia DW. Ni za NGO inayoitwa Twaweza ni NGO dada na HakiElimu kama sijakosea mwanzilishi wake ni yule Mhindi wa Ibadakuli Rakesh Rajan. Ila jamaa huwa wana vijembe?!!
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  polisi wa uganda ni wapumbavu mara kumi ya polisi wa tanzania!!
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wananalinda ugali wao kwa dictator museveni
  wakilogwa wakaachia anawachinja wote!!!
   
Loading...