Naombeni msaada tafadhali

Tewe

JF-Expert Member
Jan 11, 2008
1,101
813
Nimeunganishwa na vijihuduma vingi sana vya vodacom either kwa kujua au kwa kutojua na kwasasa nakatwa hela nyingi kwa huduma hizo.
Simu inapobaki na shs 250 naambiwa sina salio la kutosha kupiga simu, no ya huduma kwa wateja haipatikani ili niweze kujitoa kwenye huduma zote isipokuwa zakupiga, kupoke na internet.
Anayefahamu namna ya kujitoa anisaidie tafadhali
 
POOLEEEE SAANAAAA.

Mitandao yote siku hizi ni wevi. Wanakutumia nyimbo ya kanisani na wananikata mahela wakati mimi ni ustadh.

Kawaone VODASHOP na waku ondoshe kwenye vihuduma vya kiwizi.
 
pooleeee saanaaaa.

Mitandao yote siku hizi ni wevi. Wanakutumia nyimbo ya kanisani na wananikata mahela wakati mimi ni ustadh.


Kawaone vodashop na waku ondoshe kwenye vihuduma vya kiwizi.

poa mkuu
 
Back
Top Bottom