Ajali ya Basi la Tashirifu leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya Basi la Tashirifu leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamongo, Feb 28, 2012.

 1. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Basi la Tashirifu limepata ajali maeneo ya picha ya ndege leo saa 10 jioni lilikuwa linatokea Tanga majeruhi ni wengi wako tumbi wengine wamepelekwa Mhimbili,cha ajabu kondakta wa basi alikuwa anaziba jina la basi ubavuni kwa makaratasi,ili tusijue ni basi gani lililopinduka,
   
 2. m

  mdegela Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kuona wala kusikia dah hiyo kali,ila wale wote walio patwa na majeraha mungu awape nguvu.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimeliona wala shm lililodondoka siyo pabaya kivile,
   
 4. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa Sumatra washalipiga marufuku ndio maana wanaziba utambulisho wake
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Walio jeruhiwa nawaombea kwa mola muumba awape uzima haraka. AAMEEEN !!!
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kawaida sana kuziba namba na jina la kampuni,wanachelea kuchafua jina la kampuni
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  God bless all injaries to be cure early
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Poleni majeruhi!!!
   
 9. m

  msafi Senior Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ni kweli kabisa juu ya ajali hiyo, tulikuwa tunaongozana na basi hilo mimi nikiwa kwenye BM coach toka morogoro, basi hilo liliacha njia na kupinduka baada ya kuchomekewa na gari lingine, kwa mbele kwa ghafla na dereva alishindwa kulimuda ikabidi aingie kushoto na kwenda na kulalia ubavu.
   
 10. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  huyo kondakta mwehu
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Sio mwehu..wanafundishwa na matajiri wao...So wehu ni wamiliki wa hayo mabasi.
   
 12. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Mungu awasaidie Majeruhi wote wapone.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...