Kigwangalla Ndani ya Kumekucha ya ITV kuanzia saa 12.30 asubuhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigwangalla Ndani ya Kumekucha ya ITV kuanzia saa 12.30 asubuhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HKigwangalla, Feb 29, 2012.

 1. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Kesho asubuhi kuanzia saa 12.30 nitakuwa kwenye Kipindi cha Kumekucha cha ITV nikizungumzia hoja zangu binafsi za mkakati wa kujenga nyumba na kuwauzia wafanyakazi kwa dhamana za michango waliyojiwekea kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, na ile ya kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa vijana wa makundi ya wasomi na wale ambao hawakupata fursa ya elimu.
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,515
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  safi mkuu ila mbona hakuna utekelezaji wa unayoimba? Hebu tujifunze vitendo zaidi mkuu!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tutakuwa pamoja mheshimiwa kujua yale utakayotuambia.
   
 4. m

  mjanja1 Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hk mawazo mazuri bt your in a wrong party magamba. Hzo ni dl za watu ambazo kamwe hawata kubali kubadilisha. Imagine
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ajira zipo nyingi kama nyinyi wabunge mkiweka sheria ngumu za kuzuia Wageni kuajiriwa Tanzania.
   
 6. Andy1

  Andy1 Senior Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizi unazoongelea mbona ni sera za CCM katika ilani na rais aliahidi, sasa uko wapi utekelezaji wa pamoja? Au kila mwana ccm aanze kupita katika media anatangaza lake mh?
   
 7. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nimewasilisha taarifa za hoja hizo na hiyo ndiyo action inafanyika hapo!
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,515
  Likes Received: 5,649
  Trophy Points: 280
  msijidanganye! kigwa anafaa huko aliko! Mtu yeyote anayeweza kuwavumilia ccm na sera zao fahamuni na yeye ni part of the problem! Anyway go Nzega boy!
   
 9. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tutakuwa pamoja mnyamwezi
   
 10. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Komaa kaka, big up na nakutakia a fruitful political carrier
   
Loading...