Magreat thinkers habar zenu!.naombeni tushirikiane hapa tulete ushindi........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magreat thinkers habar zenu!.naombeni tushirikiane hapa tulete ushindi........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaNanii, Feb 28, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mimi Ni mgombea nafasi ya ukilanja mkuu(headprefect) shule moja hivi pande za tabora.nahitaji mawazo yenu yachangamke kunipatia slogans niwezazo kutumia ili nishinde.tayari nimebuni bahadhi ila nyingine zaidi nazihitaji.nisaidieni jamani nina only 2 weeks from now kukamilisha mambo.nataka kushinda uongozi pale ili tuiletee taswira mpya,tufanye hivyo tafadhalini
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wanawake tukiwezeshwa tunaweza!
   
 3. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ahaha,paka niaje?ile ni shule ya boys baba na sio kijiji cha wakina mama
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...0%
  Network failed !

  Umezoea vya dezo.
   
 5. F

  Frank lwakatare Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  My fellow students dont feel shy, give me a try .. Vote for me!
   
 6. F

  Frank lwakatare Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  A vote for seneta is a vote not wasted.you change your underware now its tym to change ur sxul.vote for seneta..
   
 7. Legend Hax

  Legend Hax Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Ikiwezekana chukua baadhi ya slogans za viongozi siasa, kama Slaa then unazifanyia samplering,
   
 8. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Thk:unasemaje nimezoea vya dezo?kwani maana ya mtandao now dayz ni nini?,f u have no help t means no comment
  frank:slogans zako nimezipenda they r cul.
  Legend:siwezi chukuwa za slaa kumbuka huu ni uchaguzi uhuni wangu ukigundulika naanguka,ntaonekana naiga kabisa
   
 9. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Unajiaibisha!! Kama hata kauli mbiu imekushinda je huo uongozi utauweza? Wewe ni mfupi wa mawazo na usipoangalia utafeli, uzoefu. Uzoefu unanyesha kwamba, wanafunzi viongozi wanafeli kwa kuwa wanatumia muda kuendekeza siasa uchwara badala ya kusoma. Kauli mbiu inategemea na mazingira na malengo yako, sasa sisi tukusaidiaje. Raisi Kikwete alisema MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, sasa inamhukumu...
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,570
  Trophy Points: 280
  Rudi kwa mwalimu wako wa somo la kiswahili akupe tution kabla hujaanza kujinadi mkuu.
   
 11. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wewe kweli ni mwanafunzi, lugha gani unayoiandika humu? r,t, f, u...ndio nini hizo!? Concentrate with your studies
   
 12. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ahahaha,yan nyie njemba humu ndani ndo kujifanya kuniijia juu tafkiri mmelazimishwa.kwani nini maana ya slogans?,kwani slogans ndizo zinaongoza?nimeomba tuu za kurun nazo,acheni uswahili bhana.help me.
   
 13. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nguvu mpya, Kasi mpya na uongozi mpya.
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kila la heri
   
 15. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kigumu chama cha Mapinduzi, Zi-ngumu fikra mwenyekiti wa CCM.
  Ndugu wanafunzi wenzangu kama mnavyojua kuwa leo ni uchaguzi wa kiranja mkuu ..................
  Unaflow namna hiyo ah!! utashinda Mwanawane.
   
 16. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kazi kwelii kwelii! Cul, t, r. Ndio vinini hivyo au ndio umarekani? Viongozi wa kesho hao. Nakutakia mafanikio mema!
   
 17. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  "You can buy a book, but not a material"
  Ni vema ukazanie masomo zaidi maana inaelekea wewe bado ni kilaza na hufai kuwa kiongozi.
   
 18. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kilaza at work
   
Loading...