Kukatika umeme hovyo hovyo... Bado tuendelee kuita DHARURA?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukatika umeme hovyo hovyo... Bado tuendelee kuita DHARURA??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by micro_almunia, Feb 28, 2012.

 1. m

  micro_almunia Senior Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  naomba tutafakari namna shirika la tanesco linavyoendesha wateja wake kienyeji bila kuwaheshimu.
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wao ni watanzania,na wanajua watanzania ni watu wa masihara masihara
  tu na wasio na mwelekeo kwanini wawajali?
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Ngeleja alisema Bungeni umeme unaozalishwa ni zaidi ya matumizi ya nchi, kama kuna mgao ni matatizo ya kiufundi. Cha ajabu, nimesikia huko Musoma kuna mgao kuanzia saa 2 mpaka 12, pia, kuna mitaa ya Sala Sala hawajaona umeme siku ya tano sasa. KITISHO: je tumwamini nani??
   
 4. g

  grey blue New Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ndio Tanzania ye2 wajamen
   
 5. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hivi walivyosema tumedhubutu, tumeweza na tunasonga mbele si walikuwa wakiamaanisha na TANESCO nayo imethubutu, imeweza na inasonga mbele au siyo jamani?
   
Loading...