CCM Wanavyotuibia kura! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Wanavyotuibia kura!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WA-UKENYENGE, Feb 29, 2012.

 1. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  WanaJF, poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu changa na masikini.
  Tujikumbushe tu, najua wengi tunafahamu na mengi yameshasemwa sana hapa jamvini namna ambavyo chama tawala wanavyoiba kura na hatimaye kuibuka washindi katika chaguzi mbali mbali. Hii itatukumbusha na pengine kubadili mbinu au kuongeza mbinu za namna ya kupambana na hili janga la kitaifa. Moja ya mbinu zinazotumiwa na CCM ni kama zifuatazo:
  1. Wanahonga mawakala wa vyama vingine kwa gharama yeyote ili kuruhusu matokeo kubadilishwa.
  2. Vituo hewa vya kupigia kura, ambavyo vinakuwa na majina hewa mengi huku wapiga kura wengi wakishindwa
  kupiga kura.
  3.
  4.
  5.
  .
  .
  .
  Tukumbushane wanajamvi na pengine tutaweza kusaidia kupeana mikakati iliyojaa utalaamu na mkakati wa kiufanisi ili tuweze kupunguza hili janga la kitaifa.
   
 2. S

  STIDE JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Njia nyingine ni kukimbia na MABOKSI YA KURA!!
  "Ile mijamaa mijizi iile, we acha tu!!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na msisahau jukumu la tume ya uchaguzi kuchakachua kura.
   
 4. C

  Capitalist Senior Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  1.Kununua shahada za kupigia kura.
  2.kutumia polisi kutisha wapiga kura kwenye zoezi la kupiga kura na hata wakati wa kuhesabu kura.
  3.kuondoa baadhi ya majina ya wapiga kura kwenye vitua vya kupigia kura.
   
 5. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tiss.....................................
   
 6. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mabox hewa yaliyojaa kura za ccm. Style hii anaitumia sana Makongoro Mahanga.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa mafisadi mbinu zao zote ktk uwazi huu na ukweli hakika tunayo mifukoni!

  Na mfano mzuri ni kesho kutwa pale Arumeru mashariki.

  Subirieni na mtaona ama walio mbali mtasikia!
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hivi hawa jamaa hawawezi kuwa na daftari lingine la wapiga kura kweli? Na vipi,hawawezi kusogeza watu wa jimbo jirani kupiga kura kwa kuwapa kadi feki? Mi ninaona hayo yote yanawezekana!!
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hapa ndiyo huwa naumia mwenzenu, maana wali dagaa wa siku moja, mtu anawatesa miaka 5. Lol!
   
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hapo tu ndiyo mwisho wa maneno, huwezi kucheza game, wakati refa ni wa mpinzani wako. Hata ufanye nini lazima akunyonge! ni lazima nguvu nyingi na akili zitumike kuhakikisha hii biashara haramu tunaitoa.

  Hapo nako ni hatari, na hawa jamaa ndiyo wanamwaga mpunga kwa wananchi. Wanaamrisha kila kitu.
   
 11. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kutumia vyombo vya dola kutisha mawakala. Unajua vyombo ya dola (polisi na usalama wa taifa) wanatisha sana kwa sababu wao kuua raia ni kitu rahisi sana. Na kwasababu wananchi wanajua hilo basi wanaogopa na kutekeleza wanayoambiwa.
   
 12. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kuna hii style ya mabalozi/wajumbe wa nyumba kumi kuorodhesha majina ya watu kana kwamba tupo enzi za chama kimoja, nayo nadhani ni ya hovyo! inatakiwa kupigwa stop au kuwashughulikia hao mabalozi. Ikiwezekana wachukuliwa kama janga la kitaifa nao.
   
 13. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  4.Hupendekeza kuhesabia kura katika jengo ambalo lina selling board afu ukifika mda wanawaambia mawakala kwenda kupata lunch/soda milango inafungwa vizuri kwa SOLEX afu juu ya selling board anakuwepo mtu aloandaliwa na ma-box yalo na kura ambazo zimepigwa afu wanabadilisha hapo wanashinda kama wananawa!
   
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu Bukutonaga, Hii nilikuwa sijawahi kuifikiria. Nadhani hili makamanda wanafuatilia kwa karibu ili kujiweka tayari kwa lolote. Nashauri pia wawe wanakusanya hizi mbinu na kuzidocument kwa ajili ya nyakati zijazo.
   
 15. d

  davidie JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usalama wa taifa kuhusika moja kwa moja katika wizi kwa kutumia nafasi yao ya usalama
   
 16. e

  evoddy JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbinu nyingine wanayoitumia ;kama jimbo lina wapiga kura elfu kumi mathalani wao wanaongeza kura zao elfu tatu 3000,hivyo ikitaka kuwashinda lazima wanachi wapige kura za kutosha yaani kituo ccm apate kura 5 CHADEMA 300 HAPO HUWA HAWANA UJANJA
   
 17. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kutumia mamluki ambao wanakuwa mawakala wa vyama vingin!
  Kuwanunua wapinzani pamoja na kura zao.
   
 18. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Yaani hilo nalo janga kubwa, na hizi njaa zetu zinawafanya waendelee kujipangia kututawala.
   
 19. KATATANAMA

  KATATANAMA Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naona chamsingi ni kutoa elimu kwa ndugu zetu walioko vijijini hili waache mtindo wa kudanganywa kwa kofia na vijitisheti. Kuhusu Mawakala na hapa nazungumzia wale wa CHADEMA mimi najua wanapewa elimu ya kutosha ambayo kama Wakala anaizingatia si rahisi kura kuibiwa. Nakumbuka uchaguzi uliopita mimi nilikuwa wakala wa Chadema ktk jimbo la Kawe na nakumbuka tulipewa semina na karibu yote hayo mliyo yazungumzia tuliambiwa pia.
  Mbinu nyingine ambayo huwa wanaitumia ni kujífanya wema sana kwa wakala hasa yule wa chama ambacho kina nguvu kwa kumpatia chakula ambacho akila tumbo linavurugika na anaanza kwenda chooni mara kwa mara na wao kutumia nafasi hiyo kuweka kura zisizo rasmi. Tuzidi kutoa elimu kila mmoja kwa nafasi yake hili angalau kufikia mwaka 2015 watu wengi wawe wameelimika na tuweze kubadilisha mstakabali wa taifa letu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ondoa woga katika mioyo ya Watanzania.
   
 20. D

  DOMA JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Rajab kiravu na makame
   
Loading...