Mji usio na baba

Masudi

Member
Feb 24, 2012
19
1
Nchi yetu ipo kama mji usio na baba vile,Inasikitisha sana kuona mji wa tanzania umekosa baba mwenye kujisimamia.Kila msaidizi wake anakuwa na ndimi zinazokinzana na mwingine,mara nyingi baba aonapo tatizo katika familia yake hupanga safari za ughaibuni kitu ambacho kiaigharimu familia. Nadhan sasa ufikie wakati asimame ili kutoa maamuzi kama baba mwenye mji. Saiv kuna sakata la Dk.Harrison mwakyembe kulishwa sumu na aliowapa jukumu la kufutilia tatzo hli wanatapatapa kwanin asilisimamie hl ili watu wajue ukwel ulipo?
 
umeshaliona tatizo ambalo kila mtu analijua na kuliimba hapa sasa ingependeza zaidi kama ungekuja na plan of action kupambana na hili ombwe la uongozi kuliko kila siku kuorodhesha matatizo tu bila majibu
 
Back
Top Bottom