Hivi nini hasa lengo la TAMASHA SAUTI ZA BUSARA Zanzibar

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,311
lengo halisi la lile tamasha.mara nyingi huwa nasikia na wasanii wa nchi mbalimbali huwa wanaalikwa.na kwanini bendi zetu maruufu za kibongo huwa hazialikwi zianaenda bendi ambazo hazina umaarufu?.... kwani pale wanatumia vigezo gani kualika au mnaomba kushiriki.......nahuwa nasikia watalii wanapenda kwenda kwanini isiwe nafasi ya kuutangaza mziki wetu..,
 
Subiri waje nishawaitaa wanamaliza kikao cha harusi wanakuja kujibu...
 
Back
Top Bottom