Kweli wa Tz kiboko.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Mtanzania ukimwambia mkae mjadili umbea na majungu hata kama DUME ZIMA mtakesha, sasa mwambie mjadili mambo ya msingi mfano watoto wa mitaani tuwasaidieje? Utashangaa majibu yake yooote kwenye siasa tu. FUNGUKENI AKILI WAZEE.
 
Back
Top Bottom