Ajali mbaya kwa mbonde kibaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya kwa mbonde kibaha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiumbo, Mar 3, 2012.

 1. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ajali imetokea maeneo ya kwa mbonde baina ya coasta mbili za abiria jioni hii. Takribani watu zaidi 10 wamekufa palepale maiti na damu nyingh sana. Nimeshuhudia.
   
 2. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  costa iliyokuwa ikitoka moro kwenda dar paa lake lote limefumulia na ndio maiti nyingi zilipotolewa na kupelekwa tumbi.nitawajuza zaidi.
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ni kweli.
  Wanasema gari zote ni za Mlandizi-Dar. Moja ni Isuzu Journey nyeupe hivi na nyingine ni Toyota Coaster rangi ya "damu ya mzee". Moja ilikuwa inatokea Dar na nyenzake inatokea Mlandizi. Zimegongana uso kwa uso. Coaster ndiyo imefumuka zaidi.

  Ni ajali mbaya kwa kweli. Ukiona hamu ya kusafiri inakatika.
   
 4. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mungu awapunzishe waliofariki na hawa onyeshe haraka walijeluhiwa..inshallah
   
 5. MzungukoMnangani

  MzungukoMnangani JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  May souls rest in peace!
   
 6. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wananchi wa Tanzania wanapoteza maisha kila siku katika barabara zetu kwa sababu ya uwembamba wa barabara. Kinachosikitisha ni kwamba hakuna jitihada zinazoonekana zaidi ya kuchora nyumba kwa Alama X, za kutuepusha na dhahama hii. Naendelea kuamini kwamba tunahitaji mabadiliko ya uongozi wa kisiasa nchini. Wazee wanavurunda kwa kufanya kazi kwa mazoea na kujuana.
   
 7. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Habari ya kusikitisha hii. Nawapa pole wafiwa wote.
   
 8. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Pole sana wale wote waliofikwa na msiba Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi. Amen.
   
 9. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha sana! Mind you, ajali hizi hazisababishwi na ufinyu wa bara bara ila tabia yetu ya kutokufuata sheria na rushwa kubwa iliyojaa kila sehemu! Hata Ulaya pamoja na kuwa na bara bara nyingi nzuri, lakini kuna zingine finyu sana na magari yanapishana ila ni nadra sana kuwa na ajali za aina hii tena magari ni mengi zaidi kuliko bongo! Ishu kubwa hapa ni sheria kufuatwa na rushwa kwa polisi wa usalama bara barani!
   
 10. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  RIP. Tanroads wanatakiwa wajitathmini upya katika ujenzi wa barabara kwani kimsingi ni nyembamba mmno, lakini na sisi wenyewe madereva hatuko makini katika uendeshaji wa magari, mimi naamini pamoja na ubovu wa barabara zetu hawa jamaa wa Tanroad wameweka alama za barabarani sawia kabisa,
   
 11. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mungu itazame Tanzania R.I.P marehemu wote
   
 12. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Pole kwa majeruhi, na waliotangulia mbele ya haki Mungu awarehemu.
   
 13. s

  sugi JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Hivi huwa mnashindana kuwa wa kwanza kukomenti?nn hicho sasa?
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mwenyenzi MUNGU mwenye mamlaka Mbinguni na Duniani naomba usitusahau waja wako Mungu wangu!

  Sisi ni wakosefu kila muda lakini MUNGU wangu ukaturehemu
  Nakuomba MUNGU utuzidishie Malaika wako ktk ulinzi wetu Mungu wetu,NAENDA KINYUME KBS NA MWOVU SHETANI YA KWMB HANA MAMLAKA KWA WATU WAKO MUNGU WETU!
  Mungu nitakutaja popote pale niwapo kwani nipo kwa mamlaka yako.

  Tulinde hata wengine tuliohai muda huu kwn hakika ni Mapenzi yako ndiyo mana tupo!
  Walinde hata wale wote waliokufa na wawe ktk Bwana!

  MUNGU! Hata majeruhi waliopo wape nguvu na wakukumbuke MUNGU WETU! Ni hayo tu ktk jina la mwanao YESU KIRSTO aliyefia msalabani kwa ajili yetu!

  Aaaaaamen!

  Na wote waliotangulia mbele ya haki nasema Rest In Peace for all!
   
 15. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni kweli barabara zetu ni nyembamba,lakini madereva wakifuata sheria tulizonazo pamoja na uwembamba wa barabara bado ajali zingepungua sana,tatizo kubwa la nchi yeyu ni utii wa sheria na wale waliopewa dhamana ya kulinda sheria wao wanakula rushwa tu hiyo ni miradi yao ya kuwatajirisha. Watanzania tujifunze kutii sheria bila kushurutishwa hakika itapunguza sana ajali za barabarani.
   
 16. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sijui yataisha lini haya...
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watz tutaendelea mpaka lini kupoza maisha yetu kwa ajali za kizembe kila siku? Hatua ipi ya serikali ambayo washachukua na ikaonyesha mafanikio? Serikali yenyewe haioni imekuwa ikishindwa kwa kila kitu? Niwakati sasa wa serikali kuamua kuwaachia wenyekuweza kutuongoza watz, jk upo hapo mkuu?
   
 18. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  mtangazaji wa habari hii radio one alisema 'mabasi mawili ya abiria yaliweza kugongana uso kwa uso' huwa nakereka sana na watangazaji wa aina hii, kuweza kugongana maana yake nini!!!!

  kauli zingine za watangazaji wa redio ambazo hunikera ni kama na ifuatavyo:

  hali ya sintofahamu
  mimi kama mimi
  lisaa limoja nk.
  samahanikwa kutoka nje ya mada na poleni wahanga wote.
   
 19. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Munu azilaze roho za marehemu wote panapostahili
   
 20. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani ni vizuri tuelezana ukweli, hizi ajali nyingi ni uzembe wa kutofuata sheria za barabarani. Pamoja na wembamba wa barabara zetu, kama kila mtumiaji wa barabara (pamoja na watembea kwa miguu) angefuata taratibu maafa mengi yasingetokea.
   
Loading...