Mpesa vs tigo pesa vs account no....

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
M nimpenzi mkubwa wa mahubiri jamani
hivi karibuni kumekuwa na namba zinapitishwa wakati wahubiri wakihubiri
nimekaa nikajiuliza hivi hizi namba za tigo pesa/mpesa ni za nini??
Nimejaribu kusoma biblia makanisa ya zamani yalikuwa yakiishi na kutunzwa na sadaka na zaka
za waumini na kama umetumwa aijalishi una shida kiasi gani unasimama na mungu jinsi ulivyo
leo hii nikitaka kusikilikza mahubiri unapitishiwa namba za account za benki na mpesa ama tigo pesa

sisemi muache bali ni vyema tukamtegemea mungu na kuamini mungu aliekuwapa wuamini wako anaweza kufanya miujiza tutabeba pesa za laana na ndio maana kila siku tunapiga kelele makanisani mara kwaya wazinzi wamejazana awaishi kama tunaomba pesa kwa wazinzi tuwe makini na mungu atusaidie kwa hili
 
Back
Top Bottom