Hivi ukitaka kushiriki kipindi cha malumbano ya hoja itv...wanangalia sifa gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ukitaka kushiriki kipindi cha malumbano ya hoja itv...wanangalia sifa gani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C Programming, Mar 2, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Wadau napenda kujua hivi mtu mpaka unashiriki kipindi cha malumbano ya hoja kipindi cha itv....wanangalia sifa gani....maana kuna kipindi kimerushwa leo na mada ambayo imenigusa ya polisi kuua raia lakini nashangaa wachangiaji wote wana mawazo sawa hivi waliangalia sifa gani

  kuchukua watu kwenye kipindi
   
 2. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  inabidi usiwe na akili ya kufikiri mwenyewe, ukifika pale uwasikilize wanataka useme nini kisha ufanye hivyo, jana wamenitesa sana sababu nililazimika ku-mute tv kila baada ya muda mfupi maana wachangiaji walikuwa hawana point za maana, na nilikuwa na hasira kuwasikia wakiongea hovyo
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  mbaya zaidi kila aneongea lazima wamshangilie.
   
 4. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kipindi hicho wachangiaji wengi walikuwa askari polisi waliojifanya ni raia wa kawaida. Hizo ni mbinu za kitoto kwani askari polisi anatambulika kwa mwonekano, maneno na matendo yake hata asipokuwa katika mavazi rasmi (sare). Walikuwa amejipanga kuwashambulia wanaharakati na wanasheria wanaotetea haki za binadamu dhidi ya vitendo vya askari polisi kuwaua raia wasio na hatia wanapoandamana kuwasilisha ujumbe wa madai/malalamiko yao. Sikuamini kauli zao kama watu hao ni Watanzania wenzetu au wamekodiwa kutoka nje. Wakati wanzungumzia utii wa sheria bila shuruti kwa raia, lakini hawazungumzii haki ya kuishi, haki ya maandamano kama moja ya njia ya kuwasilisha ujumbe baada ya hatua za mazungumzo kushindikana. Hawatoi majibu juu ya wajibu wa serikali kuwapa maisha bora raia wanaoteseka katika nchi yao yenye utajiri wa ajabu duniani. Ni vipi amani na utulivu vipatikane bila haki?
   
 5. N

  Ndole JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu lazima uwe mjingamjinga na mwehu ndo ushiriki hicho kipindi. Hawataki mtu timamu pale.....Hongera sana ITV
   
 6. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itv wamejishusha sana jana sikuamini kilichokuwa kinaendelea
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  Wala usiumize kichwa mkuu yale yalikua maigizo.. it was a staged thing, nchi hii sijui tunaelekea wapi
   
 8. S

  Shansila Senior Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sifa ya kuwemo ktk show ni uwe mwalimu,police au mwanachama hai wa CCM.
   
 9. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hapana mkuu hiyo walimu umechemka. Labda walimu wa 1980.
   
 10. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa maoni yenu wadau sasa nimelewa
   
Loading...