fungua channel usikie vituko vya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

fungua channel usikie vituko vya CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 3, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Yaani nasikia kichefuchefu nikiona vijana waliosoma na kufika chuo na kudai
  wanaomba kuelezea hisia za chama chao na wanaitaji chama cha aina gani
  embu wasikilize hao nao kama misukule ya ccm wakiongozwa na yule
  makwaia wa kuhenga craizy babu
   
 2. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Channel ten
   
 3. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mi sijaona tatizo! Wanahaki ya kutetea kile wanachokiamini, ili mradi wasivunje sheria, sio lazima watu wote washabikie cdm au cuf n.k. Hata ccm nacho ni chama kama vingine. Kila mtu ana mawazo yake na mtazamo wake tofauti na wakwako. Mfano: Kuna watu hawampendi lowassa na kunawatu wengine wanampenda na kumwamini. Hiyo ndio Demokrasia.
   
 4. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  akili hawana hao hasa huyo asenga bado yuko kwenye giza sanaa....
   
 5. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Afu ww jyinga kabisa na nadhani huelewi nini maana ya msomi, shortly MSOMI NI YULE ANAYETAMBUA HISIA SAHIHI NA FIKRA ZAKE NAKUZIHESHIMU PASIPOKUBURUZWA NA MTU, NA JINGA NI LILE LINALOBURUZWA NA KUPOKEA KILA KITU BILA KUFANYA UTAFITI ON WHY SO?? JIANGALIE
   
Loading...