tigo? Tigo wathulumati!!

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
wana jf siku zote nilikuwa nasikia kuwa tigo ni wezi sikuamini ila leo nimejionea,niliweka vocha ya shs 3000,mara ghafla nikaugwa na sms 100 dk mbili baadaye mb 25 kwa 450 kidogo tena sms 15,nusu saa baadaye sms 100 ghafla sms 100.hv sasa nina sms 315 na mb 25,jamani huu sio wizi,naomba mnisaidie maana hata kuwapata customer care tabu tupu na hela wanakata.
 
Yaani mi mwenyewe nimechoka nao natamani kuhama huu mtandao.hata leo mie wamenipa msg 300.yaani wanakata hela kwenye simu kimaajabu maajbu tu.
 
Yaani hata voda wizi mtupu.mwezi uliopita nilinunua airtime ya shs 20 000 kupitia my mpesa then nikamtumia mtu airtime ya shs 5000. Msg iliyokuja eti baada ya hapo nimebakiwa na shs 9800.yaani sasa nimechoka kila cku wanasema subiri masaa 24 issue itakuwa solved.yaani noma sasa badala ya masaa imekuwa mwezi. Shame on them!
 
Kwani Lazima uwe na tigo ktk Maisha yako...Amia Airtel au Voda kuepusha shalo zisizo za lazima....
 
halafu kweli hata mimi hawa voda na hii mpesa wamenishangaza,nimewanunulia watu vocha kwa mpesa ya elfu9,nilikuwa na elfu45,wamekata nimebakiwa na elfu 13...sasa hata sielewi inakuwaje...
 
mi mwenyewe hao tigo wamekata salio langu kisa mb 25 zao ambazo sikuziomba
 
Yote tisa mimi nachoka na matangazo yao unampigia mtu simu. Huu ni upuuzi
 
Kwani Lazima uwe na tigo ktk Maisha yako...Amia Airtel au Voda kuepusha shalo zisizo za lazima....

Hilo ndilo la maana kwani hata mie wananikata 30Tsh Kila siku nimeshakwenda hadi ofisini kwao lakini bdo wanaendelea kunikata.

Mie sasa Airtel mwanzo mwisho
sinunui voucher hadi miezi mitatu inapita badala yake naja Airtel.
 
hata nikihamia voda ni upuuzi,kuna cku nilikopa mia mbili ili niweze kununua muda wa hewani kupitia nmb mobile,nikanunua 4000 nikakatwa 220 kucheki salio sh 9 nikaamua kununua vocha dukani ,kuwapigia wakaniambia hawajaona sms,wakati sms ninayo.wote wezi wapi taasisi ya mawasiliano au hamuingii jf mkaona malalamiko yetu kwa mkampuni ya simu!
 
halafu kweli hata mimi hawa voda na hii mpesa wamenishangaza,nimewanunulia watu vocha kwa mpesa ya elfu9,nilikuwa na elfu45,wamekata nimebakiwa na elfu 13...sasa hata sielewi inakuwaje...

Umeona ee! Wizi mtupu
 
Back
Top Bottom