Kwa yanayoendelea mtandao wa tigo naomba nihame rasmi kuanzia leo!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Hivi ni mtandao umezidiwa ama??jamani tangu jana napiga naandikiwa error connection
nikipigiwa nakuwa kama nimebipiwa alafu mtu anatuma msg mbona simu yako inakata
hivi mna matatizo gani jamani ....ninyi tigo amjui mtaharibu ndoa za watu hivihivi watu wajue tunawakatia wake zetu kumbe mtandao wenu

embu badilikeni nimewapa mpaka jumanne saa 5 na dk 59 usiku kama amjabadilka najiondoa rasmi kujiandaa na mgomo wa ma daktari jumatano tumechoka kabisa
 
Wewe simu yako kimeo nunua nyingine vinginevyo utajiaribia mwenyewe ndoa yako
 
Back
Top Bottom