Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
Katika kikao cha madaktari ambacho kinaendelea katika ukumbi wa water front wametoa rasmi tamko la kuendelea na mgomo ifikapo j'5 saa2 asbh kama baadhi ya maazimio yao hayatakuwa yametekelezwa na serikali, suala la kuondolewa kwa waziri wa afya na naibu wake ndo lililopewa nafasi kwan madaktari wanadai hao ndo kikwazo kikubwa, hivyo kufikia j'5 mponda na nkya waondolewe.....!