Uhuni wa agape television network na ting zao!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,171
9,386
JIONI HII NIMEONA MAAJABU NA JINSI WAJINGA WANAVYOWEZA KUWAONA WEREVU WAPUMBAVU
WAKATI MECHI KATI YA MANCHESTAER CITY ILIKWISHA ZAIDI YA NUSU SAA NAFUNGULIA ATN WAO WANAFANYA UCHAMBUZI WAKATI WA MAPUMZIKO ,MARA KIPINDI CHA PILI KIMEANZA WAKATI KINA KOLO TOURE NA MANCIN WANAOGA BAADA YA MECHI NGUMU
KINACHOSIKITISHA NI NAMNA MTANGAZAJI ANAVYOSISITIZA KUWA MECHI HIYO NI LIVE BILA CHENGA!
FUNGUA TV YAKO UANGALIE MPIRA LIVE! AFU KUSEMA UONGO NI DHAMBI JAMANI
AU NDIO TING ZAO ZA KICHINA ZINAWADANGANYA ......AHSANTENI STAR TV ,TUACHANE NA UHUNI WA TING!
:eyebrows::poaAU:yawn:
 
Acha umbea mbona mechi ipo kipindi cha pili sasa? bado mpira unaendelea,ukitaka kujua mechi imeanza saa kumi na mbili za Africa mashariki.
 
UNAWAONEA BURE ting, SAA HII NI DK YA 83 NINAPOANDIKA HII POST, MAN CITY 2, BOLTON 0. iLIYOISHA NI ILE YA lIVERPOOL NA aRSENAL MKUBWA. oMBA RADHI PLS
 
acha umbea mbona mechi ipo kipindi cha pili sasa? Bado mpira unaendelea,ukitaka kujua mechi imeanza saa kumi na mbili za africa mashariki.

ahsante mkuu mwenzio nina shahada moja tu sina ufahahamu wa kutosha !
Nimeangalia star tv mpira uliisha nusu saa wakati atn wapo kipindi cha pili inawezekana vipi hawa wakawa wanasema wakolive....hhebu nijuze
 
unawaonea bure ting, saa hii ni dk ya 83 ninapoandika hii post, man city 2, bolton 0. Iliyoisha ni ile ya liverpool na arsenal mkubwa. Omba radhi pls
siwezi omba radhi mpaka nieleweshwe..balotele ,mancin wapotimu gani! Au star tv walionesha balotel na mancini wa butimba!
 
ahsante mkuu mwenzio nina shahada moja tu sina ufahahamu wa kutosha !
Nimeangalia star tv mpira uliisha nusu saa wakati atn wapo kipindi cha pili inawezekana vipi hawa wakawa wanasema wakolive....hhebu nijuze

Startv hawajawahionyesha ligi ya uingereza Live hawana haki hiyo,ulichokiona statv ni mechi ya siku nyingi(marudio)
 
England - Premier League
16:50March 3
FTLiverpool1 - 2Arsenal
flash.gif
90'
Blackburn R.1 - 1Aston Villa
FTManchester C.2 - 0Bolton W.
flash.gif
90'
Queens Park R.1 - 1Everton
flash.gif
90'
Stoke C.1 - 0Norwich C.
flash.gif
90'
West Bromwich A.1 - 0Chelsea
flash.gif
90'
Wigan Athletic0 - 2Swansea C.
 
mechi ndio imeisha sasa hivi na umewatuhumu bure agape pls kuwa muungwana kukiri kosa na kuomba radhi. kukosea ni ubinadamu tu
 
Startv hawajawahionyesha ligi ya uingereza Live hawana haki hiyo,ulichokiona statv ni mechi ya siku nyingi(marudio)

sio kweli startv, wenaonye EPL live mechi moja kila jmos, hata leo ya man city na bolton wameonyesha
 
ahsante mkuu mwenzio nina shahada moja tu sina ufahahamu wa kutosha !
Nimeangalia star tv mpira uliisha nusu saa wakati atn wapo kipindi cha pili inawezekana vipi hawa wakawa wanasema wakolive....hhebu nijuze

kubali tu, umewaonea agape. Sema ting matukio yanachelewa kwa sekunde moja au mbili dhid ya star tv/super sport.
 
nimekubali ,labda nilipitiwaa niliona wakionesha ulikuwa ni recoerded na nikadanganyika kuwa ni live kama wachambuzi walivyokuwa wanaeleza nikawaamini nikakurupuka kuwaponda atn
 
we rijamaa ondoa hiyo labda,leta kitu plain
 
Back
Top Bottom