Ma dk kugoma j5;wenye wagonjwa jiandaeni za tax na ambullance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma dk kugoma j5;wenye wagonjwa jiandaeni za tax na ambullance

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 3, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Pengine asilimia kubwa ya mgomo naiona inakuja kwa kuwa masharti yao kwa huyu rais wenu ni shida tupu ukiangalia mizigo yenyewe anaichagua yeye mwenyewe
  umoja wama dk umetangaza mgomo ifikapo j5 ijayo kama awajatimiziwa mahitaji yao wakitangaza la muhimu zaidi ni
  1.waziri wa afya kutangaza kujiuzulu
  2.naibu wake kutangazakujiuzulu
  3.na hii yote ifikapo saa tano na dk 59 jumanne usiku else jumatano mgomo kama kazi
  4.mahitaji mengine waliioorodhesha
  5.na mengineyo

  ndugu zangu pengine this time amekuwa waungwana kutupa siku tano za kujiandaa ila tunaomba serikali kusikia sauti zao na kutenda yale wanayoitaji else inabidi watanzania tuingie barabarani kuungana nao
   
Loading...