NCHI hii ina kansa ya watu wanaofanya makosa, ama hata kutuhumiwa kwa makosa, kutochukua hatua ya kuwajibika. Ninavyojua mimi, si lazima anayewajibika awe ndiye ametenda kosa kwa mkono wake, bali...
Inasikitisha kuona Madaktari ambao ni watoto wa nchi hii wameamua kuzama kwenye malumbano dhidi ya serikali ambapo waathirika ni sisi wananchi tunaotegemea huduma yao. Sikujua kwamba Daktari...
Alfajiri ya leo tarehe 9 March 2012 nimepita Mwenge na kulikuta Lori la kubeba Saruji linalomilikiwa na Kiwanza cha Saruji cha Wazo lenye namba za usajiri T697 ATD likiwa limepinduka "miguu juu"...
IGP Mwema.
Nabii Flora
Na Makongoro Oging'
MORIS Charles anayejitambulisha kuwa ni askofu wa kanisa moja la kiroho jijini Dar es Salaam amedakwa na unga hivi karibu katika Kijiji cha...
Katibu Mwenezi CCM atuhumiwa kumbaka binti yatima ..!!!!!!!!!!!!!!
30 Dec 2011 asubuhi,Katibu mwenezi wa ccm kata ya Bilele anatuhumiwa kubaka mtoto yatima wa umri chini ya miaka 18...
Katika hali isiyotarajiwa,wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na waliobadili jinsia(mashoga) wamelaani kitendo cha wanawake kuwatenga kwa kutowaalika katika maadhimisho ya siku ya wanawake...
Leo alhamisi walimu wapya waliopangwa wilaya ya Bariadi mkoani Shinyanga wamelipwa mishahara yao ya mwezi wa 2,walimu hao ambao wiki iliyopita waligoma na kuandamana hadi kwa mkurugenzi wa wilaya...
Hawa ni mama zetu,wake zetu,dada zetu,shangazi zetu,mama wetu wadogo na wakubwa,kwanini hii siku ya Wanawake Duniani isipewe heshima inayostahili.Iwe Public Holiday watu tukae na tutafakari mambo...
LEO HII NIMEPOKEA EMAIL TOKA KWA MTU AMBAYE SIMJUI NA MAENITAKA NIMSAIDIE KUHAMISHA FEDHA KUTOKA KATIKA AKAUNTI YA JAMAA GANI SIJUI AMBAYE HAIJAWA RESPOND KWA MUDA MREFU SANAAAAAAA!!! HEBU SOMENI...
Kwanza nawapa pole sana watumishi wote wa Manispaa ya Ilala kwakuingiliwa na hawa wanao jiita waheshimiwa maana kama ni ulafi basi ndiyo wamekubuhu maana wanashindana kuchukua miradi na sasa wana...
Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa...
Mwanamke ametoka kwa ubavu wa mwanaume hakutoka katika unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa, hakutoka katika kichwa cha mwanaume ajisifu eti yeye anakili sana, bali ametoka ubavuni ili...
hivi ni kweli kabla ya muungano zanzibar ilikuwa nchi ya pili africa kwa kipato cha mwananchi?
nini kilitokea?
ni kweli muungano ndo chanzo cha umasikini????
how?????????
mimi hali ya kukubaliana kati ya mhe raisi na viongozi wengine wa kisiasa kurekebisha sheria ya mchakato wa katiba.jambo hili ni jema sana lakini tukichelewa kusema katiba hii itakuwa ya...
I was born,
a woman was there
to hold me : -My Mother-
I grew as a child,
A woman was there
to care for me, to
play with me : -My Sister-
I went to school,
A woman was there
to help me learn ...
I picked this from a bikers forum in which I belong. This is what one of the bikers had to say about the African countries he had visited. Please take note on what he says about Tanzania. Is he...
Habari zenu wana Jf, ni hadithi na historia kila jamii huzipokea kutokana na wazazi na jamii watokayo, pamoja na kwamba tumekuwa katika mabadiliko ya kitamaduni kutokana na hiki kinacho itwa...
The biggest solar storm in five years is battering our planet right now, and may cause disruptions to satellites, power grids and communications networks over the next 24 hours, space weather...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.