Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

A strong geomagnetic storm is racing from the Sun towards Earth.Its expected arrival on Thursday could affect power grids, airplane routes and space-based satellite navigation systems, US space...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii imemtokea rafiki wangu wa karibu sana jana 06/3/2012 saa tisa mchana. Kwenye akaunti yake ya M-pesa alikuwa na tsh 35,000 ambazo kwake ni kiasi kikubwa sana cha fedha na alikuwa anauhitaji...
4 Reactions
34 Replies
11K Views
kuna zoezi linaendelea la wakuu wa mikoa kutakiwa kutoa taarifa juu ya hali ya mgomo nchini.kuna maeneo ambayo yanaripoti hakuna mgomo lakini uhalisia hauko hivyo.wakuu hawa wa mikoa hawatoi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Madaktari ndo hao wanagoma goma tu, mkulu anacheka cheka tu, mtoto wa mkulima analia lia tu! Watanzania mnategemea nani atoe maamuzi magumu kabla watu hatujaanza kufa kufa? Ni fursa kwa Bi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilipokuwa bado nasoma kidato cha pili mwka 2009, nliomba uhamisho nje ya mkoa ili kuendelea na masomo! Nliacha dada zngu weng walioolewa lkn c mbal sana n homestead n mm ndo lastborn n ni mtoto...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu mie nafikiri kwa hali ilivyo tete kuhusu mgomo wa madaktari, tuna haki na sababu ya msingi ya kumbana Rais Kikwete atuhakikishie usalama wetu na hatma ya afya zetu. Yeye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WAKUU HABARI ZENU WAKUU THIBITISHA U AFRIKA WAKO KWA KU LIKE PAGE MPYA IITWAYO AFRICA HII PAGE MPYA YA FACEBOOK ITAKUWA INAHUSU UTALII MBALI MBALI UPATIKANAO AFRICA PAMOJA NA UTAMADUNI UNAOMHUSU...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Matrekta saba yanunuliwa kwa Sh440 milioni Tuesday, 06 March 2012 20:24 0digg Gasper Andrew, Manyoni CHAMA Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Kanda ya kati (CETCU Ltd) kimetoa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mgomo wa madaktari umeanza tena katika mikoa/miji yenye ushawishi mkubwa ya Dar,Mwanza na Mbeya!Athari za mgomo zitaanza kuonekana punde.Lkn mgomo huu ulikuwa unazuilika,hasa: 1- kwa serikali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ikiwa madereva wa mabasi yote, taxi, bajaji na bodaboda watagoma, je, unaweza kufananishaje na hili suala la mgomo wa madaktari? nani zaidi?
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Habari nilizonazo nikwamba watumiaji wote ama niseme wateja wote wa Manjis Gas & na kampuni zingine wanashughulika na mambo ya uuzaji wa Gas hapa Jijini Arusha,kuanzia kesho tar 7/ 03/2012 bei ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
TAZARA wamtaka Waziri wa Uchumi ajiuzulu Walimu nao waipa serikari siku 14 WAFANYAKAZI wa Shirikala la reli Tanzania(TAZARA) wamemtaka Waziri wa Uchukuzi Bw, Omari Nundu ajiuzulu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hebu imefika wakati wanawake tujiwezeshe wenyewe tusisubiri kuwezeshwa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wanawake wa tanzania huku tukiendelea na maadhimisho yetu tukumbuke kuwa tupo na wanaume legelege kabisa.kwa iyo maisha yetu na ukombozi wa maisha yetu yapo mikononi mwetu wenyewe.hawa wenzetu...
12 Reactions
77 Replies
6K Views
Kwa siku ya leo ya Wanawake duniani,kama kuna kitu masikio ya wanawake wa Tanzania tungetamani kukisikia ni kuwa Dr. Lucy Nkya amejiuzuru u-naibu waziri,ili kuokoa maisha ya wanawake wenzio na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na hii televisheni eti ya Taifa, ITV wanaripoti updates za mgomo wa madaktari yenyewe inaendelea na mambo yake kama vile hakuna lolote linaloendelea la hatari nchini. Hii tv vp...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kuuliza swali makamanda wenzangu. Arusha hivi tunavyoongea kuna FFU wa kumwaga kutoka huko walikotoka,sasa swali linakuja hapa,ni upendo wa serikali kutuongezea ulinzi cause labda kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali kupitia Waziri wetu mkuu Bwana Mizengo Pinda inasema imejipanga vyema kuhudumia jamii katika mgomo wa madaktari,hivi mwanzoni mbona watu walipoteza maisha ina maana mlikuwa hamja jipanga...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
A mum is a small portion of God's love in action, A mum is a bank where her children deposit all their worries n hurt, A mum is the cement that keeps her family together n her love lasts a...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Lusimba Midaba studied at Mzumbe and thereafter he went to study in Poland sometime I had heard he was poisoned in Warsaw anyone with information?
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Back
Top Bottom