Original komedy kwishiney

Status
Not open for further replies.

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa kalenda kila siku huku ma technicians wa TBC wakirudia rudia show zao zilizopita miaka mingi,,kwa nini TBC wasiwe wazi na kukataa ku sign au ku sign ili hawa wandugu wajue moja??Tbc wakikataa ku sign hawa jamaa itakuwa ndio mwisho wao au wataenda ITV?watathubu kwenda ITV na walishamtukana mzee Mengi live kila mtu aliona??waswahili wanasema usinyee kambi,,kazi ipo!
 
bora waishie zao mbali! wanaboa sana na ukosefu wao wa creativity!
 
yaah its true now days wanaboa, inabidi wawe creative sana, other wise watapotea kabisa katika ulimwengu wa sanaa!!!
 
Waliowahadaa na kuwapa jeuri ya kumtukana Mengi siwezi kumlaumu kwani ilibidi wachanganye na za kwao,
pia iwe fundisho kwetu,tusitukane wakunga jamani na ....
 
Mimi nasema watu wote walioipigia kampeni au wanaendelea kuipigia chapuo CCM lazima laana iwaangukie.The original komedi wanavuna walichopanda,na kwa kweli hawa jamaa watafulia mpaka aibu..sijui watakimbilia wapi.Walidanganywa na Manji na vihela vya msimu.Laana ya kuwapigia kampeni CCM inawala na itawala sana.
 
afadhar wapotee nanilihi zao kbs...yan waliniudhi cku ile wanadhihaki matokeo ya uchaguz igunga as if wao ndo ccm,.
 
yaah its true now days wanaboa, inabidi wawe creative sana, other wise watapotea kabisa katika ulimwengu wa sanaa!!!

Kuna wale wa EATV jamaa wako njema sana,nadhani watachukua usukani...jamaa wanafanya kipindi alhamisi muda uleule wa original komedi wa TBC ila mimi uwa nawatch hawa jamaa wa EATV....halafu ukitaka kujua kuwa jamaa wa ORIGINAL KOMEDI wamefulia walikuwa wanachonga sana Facebook,now days wamejificha yaani kwa mfano huyu masanja nadhani kaishiwa hata hela ya vocha ya kuweka kwenye moderm....
 
Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa kalenda kila siku huku ma technicians wa TBC wakirudia rudia show zao zilizopita miaka mingi,,kwa nini TBC wasiwe wazi na kukataa ku sign au ku sign ili hawa wandugu wajue moja??Tbc wakikataa ku sign hawa jamaa itakuwa ndio mwisho wao au wataenda ITV?watathubu kwenda ITV na walishamtukana mzee Mengi live kila mtu aliona??waswahili wanasema usinyee kambi,,kazi ipo!

watajuta kunyea kambi ya mzee mengi,wamrudie tu mzee wao yule ndio aliyewatoa atawasamehe,otherwise waende kwa manji awape kazi ya kuchekesha wateja pale nje kwenye mall yake pale nyerere road quality
 
Mimi nasema watu wote walioipigia kampeni au wanaendelea kuipigia chapuo CCM lazima laana iwaangukie.The original komedi wanavuna walichopanda,na kwa kweli hawa jamaa watafulia mpaka aibu..sijui watakimbilia wapi.Walidanganywa na Manji na vihela vya msimu.Laana ya kuwapigia kampeni CCM inawala na itawala sana.
Dhambi inayowatafuna ni ile ya kuwasaliti wazalendo na kuendekeza njaa kiasi cha kuanza kulamba makalio ya CCM!
CCM hapa inaingia vipi? Hawa wanatumiwa tu kama waburudishaji, na hamna sehemu yoyote ambao wameshawahi kusema wao ni CCM. CDM pia ikiwahitaji kwenye kampen zao hawa zecomedy hawawezi kukataa cuz hawana mkataba na CCM!

Chamuhimu hapa jadilini hatma ya hawa vijana na siyo kuingiza mambo ya CCM hapa
 
Ndiyo maana wengi wanajihusisha na masuala ya muziki like Joti(mchakamchaka) na Mpoki(shangazi)...na tayari single zao ziko sokoni...ukute walishajua kwamba kikinuka huku wataibukia kule...si tayari washakuwa maarufu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom