Huu wizi au ni kweli??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu wizi au ni kweli???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Deejay nasmile, Mar 8, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  LEO HII NIMEPOKEA EMAIL TOKA KWA MTU AMBAYE SIMJUI NA MAENITAKA NIMSAIDIE KUHAMISHA FEDHA KUTOKA KATIKA AKAUNTI YA JAMAA GANI SIJUI AMBAYE HAIJAWA RESPOND KWA MUDA MREFU SANAAAAAAA!!! HEBU SOMENI WENYEWE NI HII HAPA  FROM: MR. IBRAHIM ALPHA.
  BILL AND EXCHANGE DEPARTMENT.
  BANK OF AFRICA (B.O.A)
  OUAGADOUGOU BURKINA FASO


  Dear Friend,


  I know this mail will come to you as a surprise as we never meet before. Well, I am from the BILL AND EXCHANGE DEPARTMENT of (B.O.A) Bank of Africa, I Hoped that you will not expose or betray this trust and confident which I am about to repose on you for the mutual benefit of our both families.


  I need your urgent assistance in transferring the sum of ($11.6M) Eleven Million Six Hundred Thousand United States Dollars immediately into your account. The money has been dormant (in-active) for some years in our Bank here without any body coming for it.


  I contacted you to assist me get this fund into your country, which I has perfected for the claim before contacting you, but first, You have to apply for our bank to release the money to you as the nearest person to our deceased customer the owner of the account who died along with his supposed next of kin in plane crash since 2000. I don't want the money to go into our Bank top officials treasury as an abandoned fund, so this is the reason why I contacted you, so that my Bank will release the money to you as the nearest person to the deceased customer.


  Please, for the sake of our success in this deal, you have to keep it as a top secret between me and you, but delete it, if you are not interested.


  Upon the receipt of your reply I will send you full details on how the business will be executed and also note that you will have 40% of the above mentioned amount if you agree to help me execute this business. I want you to assure me your capability of handling this transaction with trust by giving me the following information details:  (1) NAME: ................
  (2) AGE: .................
  (3) SEX: .................
  (4) PHONE NUMBER: ........
  (5) OCCUPATION: ..........
  (6) YOUR COUNTRY: ........  Thanks and waiting for your urgent response  Best Regards[​IMG]
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  We mwenyewe najua umesha elewa ni utapeli, na ndio maana unasita kumwamini.
   
 3. D

  Dopas JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Si ujaribu mwanangu kama vp? Kwani tatizo nini. Fungua account nmb kwa tsh elfu kumi. Najua hata hiyo ni nyingi ila haitakupa presha kisha akikuomba account mtumie hiyo. Hawa matapeli kawaida hutaka acc yenye mihela, ili wakombe. Kama vp, muulize alipata wapi mawasiliano yako?
   
 4. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hii ni scam
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  kilichonifanya niogope ni namna gani amepata email yangu? duh kwa mtu ambaye haja think twice basi atalizwa kirahisi
   
 6. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nadhani wewe hujui kwamba ukitoa personal details walizoomba ni watatumia jina lako kufany amambo mengi sana, sio lazima wawe na account yako at times kukumaliza.

  ushauri wako ni bomuuuuuuuu sana, hakuna haja ya kuuliza wamepata wapi e-mail hata mie najua kusechi na kupata e-mail za watu nisiowajua.

  cha muhimu watu ni kujitahidi kutotoa info zozote wanazoomba hawa matapeli.

  mfumo wa e-mail hiii upo kwa miaka mingi sana huwa wnabadilisha tu details na watu bado wanaingia mtego wao ndio maana watu hawaishi kuacha kujaribu. inafanywa na watu wengi sana tena sana duniani...419 akili juu
   
 7. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  ngoja naenda naye pole pole akiomba account namba namwambia nina tigo pesatu, hahahahah
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  mbuzi kwenye gunia
   
 9. KATATANAMA

  KATATANAMA Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi nimekwisha pokea email zaidi ya 10 zenye maneno yale yale kutoka kwa watu tofauti tofauti. Kwahiyo chamsingi ni kunyamaza tu wala usijihangaishe kuwajibu maana utawapa nafasi ya kupata details zako zaidi.
   
 10. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Thanx kwa advice.
   
 11. brainiac89

  brainiac89 Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ni wizi live live mtaendelea thn atakwambia umtumie na account number yako! Jiangalie ndugu wana maneno matamu sana hao lakini sio watu wazuri
   
 12. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  amekuwa option nzuri kwamba"delete it if ur not interested..."

  hizo ni spams!
   
 13. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Usimjibu, delete huyo ni tapeli wa kimataifa!
   
 15. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wizi mtuupuuuuu usijaribu kabisa kuwasiliana naye.
   
 16. C

  Cape city Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Danger!! Tapeli huyo mkuu...mimi nilishatumiwa email kama hii toka Senegal, tena ni lady na akajifanya ni refugee.....ni matapeli ukitoa details zako umeliwa!!
   
 17. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha haaaa. Siku moja mi nilpoke email ambayo ilikuwa imetoka kwa Beno Nduli.
   
 18. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Uwizi wa kizamani huo... Hizo ni spams...
   
 19. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wameona wanaigeria tumewashtukia ss wamebadili address just delete it man hiyo address unaweza kuta ya ukweli ila siyo yao wanaitumia kama wanavyoomba kwa watu wakiwajibu,just delete
   
Loading...