Mashoga walilia mwaliko siku ya wanawake duniani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga walilia mwaliko siku ya wanawake duniani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Mar 8, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyotarajiwa,wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na waliobadili jinsia(mashoga) wamelaani kitendo cha wanawake kuwatenga kwa kutowaalika katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.Mashoga ktk mji wa Kampala nchini Uganda
  walipaza sauti zao mbele ya mwandishi wa idhaa ya kiswahili ya shirika la utangazaji la Uingereza bbc kutaka jamii kuwahesabu kama wanawake na kuwahusisha ktk masuala yote yanayohusu wanawake!

  Chanzo:BBC SWAHILI.
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  eee Mungu tusaidie! Wanaume wanapungua kila siku, ndoa ya mume na mwanamke mmoja itawezekana kweli?
   
 3. S

  Shansila Senior Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni noma mzazi!cjui watoto wetu wa kiume tuwafiche wapi!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  wakipigwa wataanza kuandamana sio?
   
 5. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  no comment...
   
 6. D

  Dopas JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwani wao ni wanawake? Ni laana tupu, hakuna lolote maskini mzazi mwenye mtoto asiye riziki!!!
   
 7. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh! machoko nao hawana aibu


   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
Loading...